Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea...
Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele
CCM DAIMA MAFISADI...
Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mmojawapo wa wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na chuo cha CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MUSOMA, kozi Diploma in clinical medicine, kwa yeyote anayekifahamu...
copy paste fb ila muhimu
Wanafunzi wengi wenye ndoto za kusomea masuala ya Tehama huwa wanahangaika sana linapokuja suala la kufanya maamuzi juu ya kusomea kozi ipi kati ya hizo tatu...
Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023
Tarehe ya Harambee:
Jumamosi, 23.12.2023
Saa 3 asubuhi
Mahali:
Etaro Sekondari
Kijijini Etaro...
Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
Habary wakuu
Miaka ya nyuma kidogo nilikuta andiko la remitano network mining program ambayo ilikuwa inatoa renec coin nilishiriki hiyo japo sikuwa serious nilipata faida kidogo kuhusu hiyo...
Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024.
Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele 👇👇 maana nimesoma sielewi...
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD)...
Habari wakuu... Kuna utafauti gani kati ya category A - C vocational training center and category D Vocational education and training center, based registration
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?
Mnakwama wapi?
**Kipi ninajivunia miaka 60...