Nijuavyo, kuna namna mbili za kujifunza:
~ Informational learning!
~ Transformational learning!
INFORMATIONAL LEARNING huhusisha kufundishwa. Ndiyo mfumo unaotumika shuleni.
Lakini...
Habari wakuu Kuna mtu anataka kusoma bachelor za computer either IT, computer science evening class hvyo anauliza vyuo gani vinatoa Evening class upande wa hizo degree.
Pia kwa upande wa degree...
Kwa wanafunzi wa undergraduates, Diploma au yeyote mwenye uhitaji wa kuelewa kuhusu course ya Computer Science katika level ya postgraduate inayotolewa udsm, unaweza kuniuliza.
Pia unakaribishwa...
Habari wakuu,, samahani naomba kujua gharama za kusoma! kusoma Masters ya strategic governance katika chuo cha diplomasia maana nimeangalia kwenye prospectus ya chuo hawajaweka tuition fees...
Habari wakuu,
Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa...
Jamani wanajanvi, sioni kama ni mantiki kumruhusu mtumishi akajiendeleze kwa kuchukua shahada ya pili ya ualimu kisha akirejea kazini serikali inashindwa kumlipa mshahara wa masters. Hii...
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist...
Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
NAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUTAMBUA SCIENTIFIC CALCULATOR ORIGINAL.
maana kesho ndio tunaenda kununua.
Maana kuna duka walisema 58000 lingine wakasema 30000.
Habari wakuu.
Natumai hali zenu zote ni nzuri. Kwa wale wenye changamoto, Mungu awajalie.
Nina swali kuhusu kusoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili. Mfumo huu wa Elimu ya Secondary upo hivi...
Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username...
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua.
Soma:
- KERO - Serikali...
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi...