Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira.
Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina...
Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona.
Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
Habari zenu, nilikua napenda kupata ufafanuzi kwenye hizo courses kwasababu mpka sasa hvi bado nawaza ipi ni course nzuri zaidi kuliko nyingine na inafurusa Pana katika jamii na Unayo weza...
Salaam wana jamvi
Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili
Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?
Maana...
Safari hii naona mmeamua kufuata kanuni mnaozijua ninyi maana kila tulichoaminishwa hamfanyi.
1. Mwanafunzi wa div 1 ya A zote anakosa scholarship ya SAMIA na mkopo hakupata. Sasa hizo kauli zenu...
Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu.
Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu.
Kila nikimpigia Mkuu wa...
Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi.
Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje...
Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona Serikali inataka...
Jaman nisaidieni kimawazo hapa mm nimefaulu kwenda advance lakin nimepangwa kwenye kombi ya HGL na mm sitaki kusoma HGL nataka nisome CBG na nimefaulu hesabu kwa grade "c" na komb ya CBG...
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Kwa wale ambao Wana ndugu, watoto au kama ni wewe, unaweza kupata majibu Yako hapa fasta kama umeshindwa kuona mwenyewe. Tuma jina kamili la mwanafunzi, jina la shule aliyokuwa anasoma na mkoa.
Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂
Ndomana nime kuja...
Wakuu Habari za Majukumu.
Imekuwa ndoto yangu kuanzisha na Kuendesha Chuo cha Elimu ya Kati,kinachotoa Elimu ya stashahada na astashahada hasa kwenye Kada ya Afya.Tayari Nina Eneo la Kutosha...
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar...