Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa hili muhimu, Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje. Je, unaweza kutambulika kama mhitimu? Je...
1 Reactions
2 Replies
650 Views
Habari wandugu, napenda kujumuika na ndugu zangu wote ambao wanaingia mwaka wa kwanza wa masomo 2023/2024 katika vyuo vyote tupeane mawazo, ushauri na tusaidizane changamoto zetu, ni njema pia...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hello members, Naomba yeyote mwenye info kuhusu hiki chuo kilichopo Arusha mitaa ya Denish. Nimeona website yao wanatoa short courses but tuition fee yao ipo juu sana. Je kuna mtu mwenye taarifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata. Sasa...
6 Reactions
80 Replies
9K Views
Naona Wizara ya Elimu kushirikiana na TAMISEMI wanaendelea kufanya maboresho kwa walimu juu ya uelewa na utekelezaji wa mtaala mpya ulioletwa. Shida yangu iko pahala, Maafisa Elimu ngazi za mikoa...
3 Reactions
0 Replies
516 Views
Habari wakuu, Ningependa kujikita moja kwa moja kwenye mada. Hii ni kwa wazazi ambao huwapeleka watoto kwenye shule zinazofanya vizuri sana kwenye matokeo kuwa makini na uamuzi huo. Japo si shule...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari JF, Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata? Maana naona kimya kimetanda...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Vitu ambavyo tunafundishwa huko Machuoni, mahali ambapo tunalipia ada zaidi ya milioni 1 iwe kwa mihula michache au mingi, lakini ukweli acha tuongee. Unakuta mtu anaenda kusomea course labda ya...
2 Reactions
1 Replies
401 Views
Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu . Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Hi wakuu, Mimi ni mwananchi wa kawaida nimejiajiri maisha yanaenda. Nakuja na ushauri wenye ushaidi kuonyesha ya kwamba kusoma degree ya ualimu na afya Tanzania, ni kupoteza muda hasa wanaopenda...
17 Reactions
87 Replies
9K Views
Bwana mdogo Farhan Jr kupitia ukurasa wake wa instagram alianza kwa kuuliza swali kama ifuatavyo 👇
6 Reactions
66 Replies
20K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Leo napenda kuupongeza uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) kwa kufuta udahili wa kozi za shahada ya elimu zenye somo la fizikia...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili...
0 Reactions
8 Replies
999 Views
Kuna wanafunzi ambao au ndio wanaingia Secondary, au wanavuka kutoka kidato kimoja kwenda kingine. Katika hali zote, kuna mahitaji ya kununua vitabu vipya vya masomo kwa wale wanaoendelea na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada nimetuma maombi ya kujiunga na veta lkn nikeambiwa kutakuwa na mtihan wa kujiunga Sasa sijajua nijiandaaje na nin wanapenda kutoa msaada wakubwa kwa anae faham anijuze
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, Kabla sijafika ofisi za VETA Mwanza naomba madereva mnishauri hapa. Nahitaji mwaka huu usiishe niwe nimepata angalau ujuzi wa kuendesha magari haya ya kawaida tu pamoja na leseni yake...
3 Reactions
2 Replies
605 Views
1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4. 2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya...
0 Reactions
6 Replies
795 Views
Wanabodi salaam Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano. Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wale waliokuwa wanakihitaji kitabu cha ALFU LELA ULELA mzigo huo
16 Reactions
56 Replies
55K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…