Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze MAHITAJI 1)Mchele kilo moja. 2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu...
32 Reactions
99 Replies
4K Views
Wazee wa maakuli kwema? Naomba tutumie uzi huu kuweka recipes mbalimbali za juice tupate vinywaji amazing kipindi hiki cha sikukuu. Ili kufanya juice yangu iwe bomba huwa nafanya haya katika...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha...
12 Reactions
21 Replies
21K Views
Hii...safi sana...Mimi napenda sana juice...kama kuna mwenye kujua aina mbali mbali za ku'blend'' tafadhari tujuzane. Asante sana. juisi ya rozella jinsi ya kutengeneza 1. chemsha...
0 Reactions
14 Replies
48K Views
  • Poll Poll
The Spice of Life: Unveiling the Hidden Powers of Culinary Herbs and Spices For as long as humans have been cooking, herbs and spices have been our trusty companions in the kitchen. More than...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini? Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu...
2 Reactions
9 Replies
922 Views
I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au...
19 Reactions
105 Replies
5K Views
Ni vyema ukawa na kawaida ya kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali nyumbani kwako ili ikusaidie pale unapotaka kupika. Haipendezi kila unapotaka kupika basi unaenda dukani au gengeni kununua kitu...
6 Reactions
10 Replies
7K Views
Kuna baadhi ya watu wanapikia nazi kila chakula, yani chakula hawawezi kupika au kula bila kuweka nazi. Unaweza kukua katika mlo mmoja amepika wala wa nazi, nyama ina nazi, maharage ya nazi na...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari, natumaini nyote mko poa Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote. Moja kwa moja niingie jikoni MAANDALIZI. kitunguu thoumu Tangawizi pilipili manga ya unga binzari...
12 Reactions
230 Replies
6K Views
Angalia hapa mapishi ya chatu mtamu. Ukipakuliwa utakula?
2 Reactions
7 Replies
666 Views
Habari Wana jamvi, Naomba tupeane mawazo juu ya vyakula mbalimbali vya kupika Kwa wiki nzima yaani visijirudie rudie,
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na...
23 Reactions
173 Replies
7K Views
MAHITAJI (kwa mahitaji haya utatoa zaidi ya pisi 200 za barafu ukitumia vifuko vya size 1¼ X 10) Maji lita 7 Maziwa ya unga 1 cup (brand yoyote) Unga wa wanga (corn starch) 2 cups uchanganye na...
13 Reactions
133 Replies
100K Views
VYAKULA 7 VITAKAVYOMFANYA MTOTO WAKO AWE NA AKILI ZAIDI Umuhimu wa lishe bora kwa mtoto sio katika kujenga mwili tu bali na afya bora ya akili. Mtoto mwenye afya bora ya akili ni mchangamfu na...
10 Reactions
22 Replies
14K Views
Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Sehemu ya Kwanza: Kupika Keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji Kukusanya Vifaa: Kwa njia hii, tutahitaji bakuli kubwa, kijiko, bakuli la kuchanganyia, na vifaa vingine vya kienyeji kama vile bakuli...
1 Reactions
5 Replies
738 Views
Habari wazee wa masotojo, Moja kwa moja kwenye mada. Hii sikufanya mimi, alifanya dogo nyumbani. Alikuwa anataka kutengeza juice amazing ili aoneshe ujuzi wake. Basi akachukua maembe na...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Asante kwa kujiunga nasi leo! Leo, tutajifunza jinsi ya kupika keki kwa njia mbili tofauti: kwa kutumia mikono na zana za kienyeji, na kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa. Kila njia ina sifa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…