Wakuu kwema?
Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi.
Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk...
Nimetoka mishe mishe zangu huko baada ya safari nikaulizia wapi naweza kupata nyama/kuku choma wapambe wakaniambia wahi City Garden, iliyopo sehemu zamani maarufu kama Mafiati.
Pamoja na kabaridi...
Wapishi mko njema?
Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya.
Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa...
LAT recipe hii hapa. . .
Ntajitahidi niweke picha haraka iwezekanavyo kwasababu zitakuonyesha kila kitu kinavyotakiwa kufanyika na namna gani vionekane which is quite important.
Mlo wa watu...
Humu kuna wanaume mnajipikia msosi??
Katika vitu vitakavyofanya nioe mapema mojawapo ni hili la mapishi!
Mimi kila nikipika wali lazima uwe mbichi aidha uungue[emoji848] yaani nikiweka moto...
Coconut Meat Curry
Nyama - ½ Kg
Curry Powder - 2tsp
Ndimu - 2
Grated Ginger - 2
Mafuta - 3tbsp
Vitunguu Maji - 2 Big (Ungraded)
Pili Pili Boga - 3 Big
Pili Pili Nzima - 3
Nazi Ya Kopo - 1/4Ltr...
Haya tena jamani leo nataka tujifunze namna ya kuandaa unga wa lishe hadi jinsi ya kuupika uji huu.
Ningeomba sana kanuni nitakayo itumia hapa basi kila mmoja airekebishe kulingana na jinsi...
Wadau wa jukwaa hili naombeni utaalamu wenu kuntu, hatua kwa hatua ya namna bora ya kupika tambi zikawa hazikatiki katiki wala kushikamana kama wali.
Zikawa nzuri na wakati wa kula unaweza...
Habari Wakuu,
Chapati za kusukuma ni pishi ambalo limekuwa changamoto kwa watu wengi, mtu anajitahidi alkini mwisho wa siku anatoa chapati ngumu na imesimama kama sinia😂🤣.
Mbinu ninayotumia...
Mara Nyingi Niwapo Kwenye Shughuli Zangu Za Kutafuta Riziki Lazma Nitumie Chakula cha Mama Ntilie Alie Karibu na Kazi Yangu!
Au Naweza Agiza Mtandaoni Pia !
Sijawai Pata Elimu Nzuri Kuhusu...
Wadau habari za humu,naomba kujua ni nini huwa wanaweka kwenye juice inavyokuwa imetengenezwa hata ikae muda mrefu kama miezi hata mitatu miwili,idea yangu nataka kuanzisha kiwanda cha kupack...
Peace be upon you all sons of Zion,
Nimepita na kuishi mikoa mingi ila nikiri kwa ulaji wa nyama Arusha ni kinara. Bila kua na takwinu rasmi lakini nadiriki kusema nyama inayoliwa Arusha inaweza...
Wazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo...
Naona ni usiku ila lengo langu la kuleta uzi naomba niliweke wazi. Wengi tunapenda kunywa maji ya moto asubuhi ama jioni, ili kupasha tumbo kabla ya chakula kigumu.
Wengi machaguo yetu huangukia...
Wakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.
Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.
Tuchukulie...