Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza...
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile.
Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu.
Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na...
Wakuu habari za siku ya leo.
Mimi hupenda sana siku za sikukuu ama baadhi ya weekend mida ya jioni nikiwa peke yangu kupata chakula katika migahawa mizuri na bora. Sehemu ninazopendelea sana ni...
Wana jamvi,
Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?.
=========...
Mara nyingi nimekuwa nikitembelea bucha za kitimoto nikiwa na familia ndugu, jamaa na Marafiki hakika huwa tunafurahi na kucheka kwa pamoja tukiwa tunatumia hii chakula.
Utamu wake ni kama asali...
Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa.
Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema...
Nawasalimu wote,
Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana.
Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi...
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.
Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali...
Heri ya Pasaka Wakuu,
Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi?
Huwa nikiweka tunda kwenye...
Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko...
UNAAMBIWA: Chips za viazi zilianza kutengenezwa rasmi Mwaka 1853 baada ya Mmarekani mweusi George Speck maarufu Crum (Mpishi) kupata hasira kisa Wateja wake kumlaumu kuwa anawawekea viazi vyenye...
Habari wana jukwaa hili
Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa...
Mahitaji;
Tui la nanzi (Tui zito na tui maji) tui maji ni mchujo wa pili wa nazi
Nyanya 2
kitunguu
mfuta ya kula kiasi
Mihogo uliomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo
Chumvi
Weka mihogo...
Mambo ya kuthubutu haya sometimes noma sana!! Yaani nimejifunza humu humu JF jinsi ya kupika Chapati.
Sasa leo si wageni wakawa wengi hapa home yaani wageni wa kike, nikaona
hapa ndo pa kuchukua...
Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa...