Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Wakuu habari natumaini wazima Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu. 1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za...
17 Reactions
107 Replies
10K Views
Ukisikia kigoma mwisho wa reli sio mwisho hapanaa.. ndio mwanzo wa mambo mazuri ya kuvutia na kupendeza.. kigoma iliyobarikiwa vipaji, elimu, mazao mbalimbali mbalimbali kutoka majini na nchi...
3 Reactions
101 Replies
32K Views
Mi mambo mengine yananipita hivi hivi..hili pilau nimeliona mahali naomba mwenye msaada wakujua haya majani ni mbwe au ni bahati mbaya yamedondokeamo. Kama siku hizi ukipika pilau ukimaliza...
2 Reactions
25 Replies
9K Views
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
1 Reactions
13 Replies
38K Views
Hivi kuna wakati unakua huna pesa au ndo umebakiwa na visent vidogo au huna hobby ya kula nyama sijui samaki wala huna hobby ya kugusa hata mboga za majani kbs Simple mboga ni hii ya miguu ya...
6 Reactions
25 Replies
9K Views
Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki? Na je mapishi yake yakoje? Asante sana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana za jikoni? Nina rai hapa kuwa tuweke kwa kiswahili na kingereza majina ya viungo vya chakula yaani spices pamoja na ingredients nyingine za kupikia na hata majina ya vyakula...
5 Reactions
36 Replies
52K Views
Wakuu napenda kupata hata ka ujuzi kwenye ukangaji wa vibanzi yaani chipsi. Naomba kujua ya fuatayo:- 1. Kiloba cha ndoo 4 kinauwezo wa kutoa sahani ngapi za vibanzi(chipsi). (Hata kama unajua...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa na hili.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mahitaji: 1- Bamia kilo 1 2- Nyanya 2 3- Nsusa 4- Ntwili 5- Kitunguu 1 6- Magadi Namna ya kupika katakata bamia nyanya na vitunguu vichemshe huku unachanganya na magadi baada ya hapo weka ntwili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapishi wa humu nawasalimu. Napenda sana kula boga, ila upishi wangu unanikatisha tamaa, nikinunua boga kwenye migahawa huwa nakula linakua zuri linakua na unga unga kama kiazi kitamu. Ishu sasa...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
1 Reactions
61 Replies
15K Views
Wasalaam, Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa. Na...
15 Reactions
152 Replies
25K Views
Habari marafiki zangu wapendwa? Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Nataka kuchoma nyama kwa ajili ya Familia lakin sijui pa kuanzia. Nadhan nikipata majibu ya maswali yangu ntajua cha kufanya. A). Sehemu gani ya nyama ya ng'ombe ni tamu kwa kuichoma? Ili...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na...
12 Reactions
31 Replies
20K Views
Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAMBO 10 YA KUZINGATIA KATIKA USAFI WA JIKO LAKO. 1. Hakikisha unasafisha jiko lako mara kwa mara kabla na kila baada ya kumaliza kupika. Usafi uwe wakina,futa sehemu zote kutoa vumbi na wakati...
5 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…