Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Sticky
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo...
59 Reactions
1K Replies
504K Views
  • Sticky
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
73 Reactions
6K Replies
509K Views
  • Closed
  • Sticky
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo...
299 Reactions
0 Replies
1M Views
The U.S. Supreme Court early on Saturday paused President Donald Trump's administration from deporting Venezuelan men in immigration custody after their lawyers said they were at imminent risk of...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
  • Featured
Wakuu Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake...
3 Reactions
43 Replies
620 Views
  • Featured
== Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa X zamani tweeter ameandika haya;- Kati ya mwaka 1970 na mwaka 1998 wakati misaada...
20 Reactions
136 Replies
2K Views
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali...
40 Reactions
257 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa...
2 Reactions
19 Replies
276 Views
Habari JF, Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.! Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana...
52 Reactions
321 Replies
14K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta...
16 Reactions
542 Replies
14K Views
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya...
1 Reactions
10 Replies
157 Views
Tutakukumbuka daima Baba. 1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar), 2. Mwl Nyerere HEP, 3. ATC, 4. Rushwa (imerudi upya).
0 Reactions
2 Replies
43 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi Yetu – Tutauza Haraka Sana! Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
44 Replies
730 Views
PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Akiwa jijini Mwanza,Hayati Rais Daktari John Pombe Joseph Magufuli alisema umeme usiotosheleza Tanzania nzima utakuwa historia,aliyasema hayo wakati akifungua kiwanda cha Victoria Moulders...
2 Reactions
7 Replies
186 Views
Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
2 Reactions
8 Replies
165 Views
"Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha...
46 Reactions
154 Replies
3K Views
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa...
11 Reactions
113 Replies
5K Views
Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13. Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani...
23 Reactions
46 Replies
2K Views
Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya...
23 Reactions
122 Replies
3K Views
Back
Top Bottom