Mwekezaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii Saleh Salimu Alamry amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na Mashtaka Sitini ya Uhujumu uchumi, kughushi, kutumia...
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika nchini katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Februari 23, mwaka huu...
Wakati CCM tayari imeshateua mgombea uraisi wa JMT na ule wa Zanziba pamoja na kuchagua mgombea umakamo wa Raisi waJMT. Vyama vya upinzani havijulikani vinafanya nini, mfano TLP, NCCR, CUF, na...
KATIMBA: SERIKALI ITAWAFIKIA VIJANA WAPATE ELIMU YA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Ofisi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya...
My two cents from a distance.
Siyo siri kwamba naunga mkono kutokushiriki chaguzi za maigizo zinazoendeshwa na CCM.
Naunga mkono harakati karibu zote za mwenyekiti mpya wa CHADEMA za kuleta...
Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi...
Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa...
WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo...
Wakuu,
1. Philip Isdor Mpango – (Mbunge wa Buhigwe) Makamu wa Rais wa Tanzania
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kuwa mbunge wa Buhigwe.
Elimu...
Wakuu,
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema baadhi ya watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamekuwa wanapokea rushwa na kuruhusu bidhaa...
.
Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
Haingii Akilini Kila kukicha, utasikia Huyu Kaandaa Dua ya kumuombea Rais Samia.
Huyu Kaandaa Kongamano la kumpongeza Rais Samia.
Huyu Kaandaa Washa ya wakina Mama kumsemea Rais .
Huyu anakuja...
Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿
Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu...
Kichwa Cha Habari Ndio mtazamo wa Gen Z wa nchi Jirani
Wanawaambia Bavicha kwamba Dunia ya Utandawazi haina Kususia Jambo lolote bali kulipambania kwa njia zile zile anazotumia adui ila kwa...
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani...
Naona kila mtu kapaniki, watu mlikuwa na matokeo yenu mkononi nini?
Fanyeni siasa, si huwa mnajisifu mnakubalika na raia sasa wasiwasi wa nini!!!
Iwekwe tume huru pale watu tupige kura.
Watu...
Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Wakuu
Vijana Wachoma Nyama Mbande Mkoani Dodoma wapaza Sauti kwa Rais Samia na Kumwomba Siku Moja apite Mbanda wanapochoma Nyama awashike Mkono kwa kile wanachokifanya, Vile vile pia wametambua...