Rais Samia mgeni rasmi katika kilele cha Miaka 10 ya ujenzi wa Female Future Program chini ya Waajiri (ATE)
Karibu kufuatilia kinachojiri
Akizungumzia Female Future Program chini ya Waajiri...
Hali ya migawanyiko na uhasama wa kisiasa miongoni mwa viongozi wapya waandamizi ndani ya Chadema bado inaendelea kushamiri, kiasi kwamba wimbi la kutokuaminia limeongezeka mara dufu baada ya...
1.Alizaliwa tarehe 01/09/1985, Rungwe Mbeya
ELIMU
1. Digrii ya Kwanza ya Sheria 2007-2011 UDSM
2. Digrii ya Pili ya Sheria 2012-2014 UDSM
3. Mafunzo ya Uwakili 2015-2016 L'ST
UZOEFU WA KAZI NA...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote...
Katika kuhakikisha biashara zinafanyika saa 24, Jiji la Dar es Salaam limeingia mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unaogharimu jumla ya shilingi milioni 514 wa usimikaji wa...
Najua Kuna presha ya kipuuzi inayorushwa kwako, ohooo hata kama hamna Mabadiliko ,Ingieni tu Kwa uchaguzi.
Ohooo Kauli mbiu yako inalengo la kuleta machafuko!!.
Na Ma blaah blaah mengi.!!.
Sasa...
Tutakuwa tumechelewa sana tukisubiri hadi October ifike. Kuiondoa CCM madarakani hakuhitaji mazungumzo bali nguvu ya wananchi mitaani. Lissu na CHADEMA mtupe miongozo kazi ianze mara moja.
Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake...
Wafanyabiashara wadogo Kutoka Dodoma (Uwamama) Umoja wa mama wafanyabiashara wadogo wa masoko zaidi ya 300 wamekabidhiwa shamba la Zabibu lenye Ukubwa zaidi ya hekali mbili na Mbunge wa jimbo la...
Nape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli, kuhusu mbinu Haramu za kushinda uchaguzi. Leo watanzania tunajionea Mbinu Haramu zinazotumika kushinda uchaguzi.
Pamoja na ubaya wake na mapungufu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao...
Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya...
Wakuu huko mkoani Njombe mambo yameendelea kutokota kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nimekutana na hii clip imenipa sonona sana ambapo Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe, Stanley...
Wakuu,
Crackdown ya kuengua vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaendelea.
Huko Lindi, viongozi wa CUF na ACT Wazalendo wameoneshwa kusikitishwa na hivyo kuwatupia lawama...
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora...
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM.
Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17...
..kwa kweli CCM hawawezi kabisa kukabiliana na wapinzani kwa hoja.
..kama uv-ccm ndio hawa basi taifa letu linaelekea siko.
https://www.youtube.com/watch?v=PFxl6jTnFzE
Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
====
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee...
Baraza kuu la UWT Wilaya ya Same lampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumtunuku cheti Cha Pongezi kwa kazi nzuri anazofanya kwa wanachi huku wakimpongeza kwa kuteuliwa Kuwa Mgombea...
Wakuu,
Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki
==============================================
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat...