Salaam Wakuu,
Kwa wale mnaomfahamu Mhando, aliyekuwa mhasibu mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam (chief accountant) amefariki Dunia Hospitali ya Mloganzila.
Mhando amestaafu na kuagwa na Wafanyakazi...
Masache Kasaka amethibitisha kifo cha Baba Yake kwa kusema amefariki dunia kutokana na tatizo la moyo lililokuwa linamsumbua. “Wakati anaedelea na matibabu katika hospitali akapata mshituko wa...
Wakuu,
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia CHADEMA bwana Alphonce Mawazo afariki dunia leo.Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana...
Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa...
Aliwayewahi kuwa Mbunge wa Ubungo na Mbunge wa kuteuliwa na Rais, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 05, 2020.
Dkt. Lamwai atakumbukwa kama Mwanasiasa machachari...
TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili...
Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu...
Jaji Augustino Ramadhani amefariki dunia leo majira ya saa mbili asubuhi katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu
====
Majukumu mbalimbali ya uongozi...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali...
Imethibitishwa Abass Kandoro hatunaye tena. Source inasema alihamishiwa Hospitali ya Muhimbili mapema leo baada ya hali yake kubadilika katika Hospitali Benjamin Mkapa ya Dodoma.
Kandoro amewahi...
Waziri wa zamani nchini Tanzania, Omary Nundu amefariki dunia na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imethibitisha.
Omari R Nundu, alikuwa mwanachama wa JamiiForums tangu Novemba 2007...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma mjini Dkt. Amani Walid Kabourou, ametangulia mbele ya haki.
Alikuwa kalazwa Hospitali ya Muhimbili. Mazishi yanafanyika Kigamboni Dar Es Salaam.
Mola ailaze roho...
Patrick Gululi Mbozu
Tanzia: Patrick Mbozu Diwani wa Isanzu (CCM), afariki Dunia
Mzee Patrick ametutoka usiku wa leo. Alikuwa anasumbiwa na Maradhi kwa mda mrefu, alilazwa Hospitali ya Bugando...
Nasikitika kuwaarifu kuwa Mhe Jaji Upendo Msuya,(rtd) amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kairuki. Hakika sisi sote ni wa Mungu na kwake yeye tutarejea.
=======
Aliyekuwa Jaji wa...
Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo.
Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.