Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh...
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini...
BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10...
Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Balozi Bakari Mwapachu amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye...
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa...
Amepoteza uhai akipata matibabu Jijini Dodoma alfajiri ya leo.
Akifundisha Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa miaka mingi kabla ya kuhamia Iringa kwenye Chuo Kikuu cha Ruaha
Profesa wa Chuo...
Mbunge wa Mbarali mstaafu,mkuu wa wilaya mstaafu Col Edmund Mjengwa ambaye ni baba mlezi wa Catherine Magige(Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha) kafariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa...
Bosi wa kampuni ya VIGU TRADING COMPANY inayojihusisha na huduma ya clearing and fowarding ya jijini Dar es salaam bwana Virani Joseph Mkomba maarufu kama Vigu amefariki gafla jana usiku, aliumwa...
Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla.
Marehemu alipata matatizo ya...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya...
Katibu mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar, mkurugenzi wa mafunzo wa chama hicho Thney Juma amethibitisha.
KHALIFA...
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu...
MAMIA WAMLILIA PADRE IRENEUS MBAHULIRA
Padre Ireneus Mbahulira(79) amezikwa leo katika makaburi ya mapadre Seminarini Rubya Jimbo Katoliki la Bukoba.
Mazishi yake yameudhuriwa na Maaskofu...
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo -...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi...
Kwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Huyu ndugu aliwahi...
TANZIA: MWENYEKITI WA CHADEMA ILALA AFARIKI DUNIA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ilala, Dk Milton Makongoro Mahanga amefariki dunia wakati anapatiwa matibabu...
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.