Napenda kuwapa pole CCM kwa kuondokewa na kada makini aliyekipenda sana chama chake.
Dkt. Donald Kisanga alikuwa kada wa CCM na mtia nia wa Ubunge Moshi Vijijini
Kiongozi wa chama cha waimbaji...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar.
Jaji Omar Haji
Mazishi...
Ni huzuni & majonzi
Ameumaliza mwendo
Kazi ya Mungu Haina makosa
Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha
Alishiriki vema akitoa Zaka na...
Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa...
Diwani wa Kata ya Likombe iliyopo Wilaya ya Mtwara, Mohamed Rashid Musa amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 9 saa mbili asubuhi.
Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara, Eliud Shemauya ameiambia...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu...
Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu.
Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na...
TANZIA: MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA AFARIKI DUNIA.
Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila(CCM), amefariki dunia usiku wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.
Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.
RIP mama Mtei
Lala salama baba. Tunakushukuru sana wa huduma Mungu aliyokuwa amekujalia
Uliitumia vyema karama Mungu aliyoiweka ndani yako
Mwendo umemaliza 💔💔💔
---
Daktari Bingwa wa Watoto Dr Augustine...
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED...
DEATH ANNOUNCEMENT
Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.
Funeral details to be announced later.
We...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa)...
Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya baada ya kuugua ghafla.
Katibu...
Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya amefariki dunia leo Julai 20, 2021 katika Hosp ya Taifa, Muhimbili.
Marehemu Prof. Nkunya alikuwa Profesa Emerita katika...
Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu.
Kayombo...
Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Wakuu, hizi ni taarifa mbaya.
Mwandishi wa habari mkongwe Atilio Tagalile ametutoka usiku wa kuamkia leo!
Alilazwa kwa wiki moja. Awali Hindu Mandal kisha Rugambwa hadi umauti ulipomfika saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.