Kuga Peter Mziray aliyekuwa mgombea urais mwaka 2010 kupitia tiketi ya APPT-maendeleo amefikwa na mauti alasiri leo katika hospitali ya Rabininsia Tegeta na sasa mwili wake umehifadhiwa Muhimbili...
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko...
Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam...
Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam.
Chanzo: Tanzania Editors...
Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya...
Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
Rais Magufuli...
Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake...
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao...
Rubani wa Ndege iliyotekwa mwaka 1982 na vijana waliokuwa wakishinikiza Mwalimu Nyerere ajiuzulu, amefariki dunia.
Capt Deo Mazula alifariki tarehe 6 Januari 2022 na Kesho (Januari 11, 2022)...
Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam.
Habari ziwafikie wana...
Joseph Mungai enzi za uhai wake
Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi...
Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini...
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini na Mhadhiri wa UDOM, Dr. Cyrili Agusti Chami amefariki saa 8 usiku wakuamkia Leo Mjini Dodoma.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa!
===
Dkt. Cyril Agustino Chami...
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi
Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu...
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa...
Aliyekuwa mbunge wa Kyela na baadae mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Mwakipesile amefariki dunia
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2021...
Mamia ya wakazi wa jimbo la Arumeru Magharibi wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha mapema jana wamejitokeza kumzika aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Elisa David Mollel aliyefariki kwa...
Kuna taarifa kwamba aliyekuwa askofu mkuu wa TAG askofu Prof Rainwell Mwenesongole ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa Upanga CCC amefariki dunia.
Taarifa zimetolewa na Sam Sasali wa Clouds tv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.