Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni...
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo.
UPDATES...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995)
Buriani Mzee Nalaila Lazaro Kiula; Mwadilifu aliyeponzwa na Mfumo kifisadi...
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
========
Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa...
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024)
--
Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa...
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma.
----
ALIYEKUWA mbunge wa zamani...
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu.
Dkt. Tulia amelazimika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia.
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC)...
Ni aliyekuwa mbunge wa huko Njombe na waziri katika serikali ya awamu ya kwanza na ya pili Mhe. Jackson Makwetta amefariki dunia jioni ya leo.
Alazwe pema peponi
Chanzo: Ndugu wa karibu na...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.
Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.
Alikimbizwa jana katika...
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
Da! Kifo cha Pande kimeniumiza mno. Alipokuwa ofisi ya DPP kanda ya Mbeya kabla ya kupandishwa cheo mara kadhaa alikuwa anakataa kesi za mchongo dhidi yangu alizopelekewa na polisi. Alishawahi...
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa...
Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne...
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge, Amepokea kwa Masikitiko Makubwa kifo Cha Diwani Kata ya Fukayosi Mhe Ally Ali Issa
Anatoa pole Kwa Mhe DC, Mkurugenzi Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.