Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake...
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari...
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu...
Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki...
Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani.
Mtoto wa marehemu...
Mzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia .
Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa Msigwa...
Marehemu John Chipaka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani nchini cha TADEA, John Lifa Chipaka amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Ibrahim Haji ya...
Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma
Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo...
Salaam,
Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo.
Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa...
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...
Mkurugenzi wa Mipango Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Katiba na Sheria Dk. Abdul Mussa, amefariki dunia leo Jumapili Aprili 23, 2023 saa sita mchana baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Dar...
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo...
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia.
Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia...
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu...
Mbunge wa viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa Ndg. Irene Ndyamkama amefariki dunia leo tarehe 24 Aprili 2022 katika hospitali ya Tumbi mkoani Pwani alikokuwa akipatiwa matibabu.
Spika wa Bunge la...
Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa leo 2/1/2023 na EATV, kwamba Mh Utamwa ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Iringa, amefariki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 January 2023.
Kwa Wageni wa...
(UPDATED 13:30 - October 16, 2015)
Kwa mujibu wa Jerry Silaa (aliyekuwa Meya wa Ilala):
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.