Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma. Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020. Tunatoa pole kwa familia...
7 Reactions
82 Replies
16K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu. Brigedia Jenerali Mstaafu...
5 Reactions
116 Replies
20K Views
Hatunao tena wapendwa wetu Ni Dorcas na Doreen Lemshungu waliozaliwa Julai 2020 na kisha kukabidhiwa kwa Masista wa Theresia wa kituo cha kulelea watoto Tosamaganga Mkoani Iringa. Wendazake...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia Thursday January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai...
7 Reactions
80 Replies
14K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo. Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka...
50 Reactions
570 Replies
110K Views
John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili. MAMIA ya wakazi wa Dar es Salaam leo wanatarajia kutoa heshima za mwisho...
15 Reactions
340 Replies
111K Views
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya...
19 Reactions
82 Replies
11K Views
Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua...
20 Reactions
148 Replies
18K Views
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati...
14 Reactions
89 Replies
14K Views
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi. Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa...
16 Reactions
89 Replies
7K Views
Jicho linaelekea katika jimbo la Sengerema lililopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza jimbo ambalo kwa miaka kumi na tano liliongozwa na Ngereja kama mbunge Ila mwaka huu baada ya kura za maoni...
8 Reactions
56 Replies
7K Views
Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
77 Replies
12K Views
Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha...
30 Reactions
143 Replies
27K Views
Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi. . Msafwa...
9 Reactions
179 Replies
29K Views
TANZIA: Mgombea udiwani wa Kata ya Idodi mkoani Iringa, Ndg. Onesmo Mtatifikoro (CCM) amefariki muda dunia si mrefu katika hospitali ya Tosamaganga Huyu ndiye Diwani mstaafu wa kata hiyo...
7 Reactions
83 Replies
11K Views
Ndugu Theofily Kweyamba maarufu kama Lowassa mgombea wa udiwani CCM kata ya Kayanga wilaya ya Karagwe amefariki ghafla wakati akienda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa nafasi ya udiwani. Mpaka...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Famila ya Bwa Gerald Rugarabamu wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Gerald Mbakileki Rugarabamu kilichotokea jumapili asubuhi tarehe 9.8.20katika hospital ya Rubinsia Tegeta Dar es...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa...
13 Reactions
130 Replies
18K Views
Back
Top Bottom