Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM
Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano
Ahsanteni sana 😄
Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.
Mvutano ulianza baada ya...
Mwezi Oktoba 2024 serikali kupitia Waziri Kikwete walitangaza kwa mbwembwe kubwa kuwa watumishi wote wastaafu wanaolipwa pension yao kupitia Hazina wataongezewa kiasi cha 50,000 kuanzia January...
Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo...
Jimbo la Vunjo ni kati ya majimbo 100 nchini ambayo yamenufaika na mradi wa ujenzi wa shule mpya za sekondari Mafunzo ya Amali Uhandisi, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi na kuwa mahiri. Kwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa...
Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa.
Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k
Dunia iliingia...
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM
Nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.
Moja ya matatizo...
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali...
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu...
Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na...
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya...
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu...
Hii ni taarifa kwa mujibu wa clip inayopatikana katika akaunt ya X ya Hilda Newton.
Sababu ni kushikiza kuachiwa kwa kiongozi wao Amani Manengelo anaedaiwa kutekwa.
Maandama yataanza saa 2...
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo
Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano...
Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika...
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa...