Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa
===
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba...
Au tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala ya kidemokrasia katika chaguzi?
Hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alibwekabweka sana kwa hofu ya kushindwa uchaguzi kitu ambacho ndio...
Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na...
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima...
Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Bahari imetanda mashariki yote.
Miti imekaa, imekuwa mingi mpaka sasa vijana wa TFS wanatumia SMG kuua Watanzania wenzao wanaokata miti ya kujengwa vijumba vyao.
Madini yamejaa Shinyanga, Lindi...
Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza...
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini.
Maombi hayo yanalenga kuiombea...
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi...
Umofia wana Jamiiforums !
Kama Mada ilivyo tajwa hapo juu,
Kumekuwa na Siasa nyepesi kwenye mambo serious hasa yanayohusu wananchi wa chini kabisa.
Kwa kuanza na uchambuzi wa mada, Mheshimiwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya...
Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini?
Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen...
Huenda hatma ya uanachama wa wabunge wa viti maalumu wa chadema, maarufu kama wabunge wa COVID-19, ikajulikana mara tu ya bunge kuvunjwa. Inasemekana watapokelewa kwa mapokezi maalumu rasmi...
Leo nimeona kioja baada ya Mkurugenzi wa Mipango ya miundombinu kuulizwa maswali na waandishi wa habari Dodoma kuhusu ujenzi wa miundo mbinu ya barabara. Hii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wa...
Nimesoma makala ya Manyerere katika gazeti la Jamhuri la 23/12/15, nimegundua kuwa mwandishi hajui katiba ni nini.
Tatizo la Tanzania si Katiba mpya
Mwaka 2012 niliandika makala katika safu hii...
Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama...
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua...