Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita
Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?
Au watapewa Msamaha wa Kodi?
Kama Mgombea Urais...
TUTAKUWA WAKWELI KUSEMA UKWELI, WIZARA YA UJENZI IMEACHA DENI KUBWA KUZIDI WIZARA ZOTE.
JE,MAGUFURI ANATUFAA KUWA RAIS?
Hii ni sehemu ya taarifa na jinsi gani ufisadi katika wizara ya...
mara baada ya uchaguzi mkuu kumalizika endapo magufuri atashinda kiti cha urais basi tutarajie wafuatao ndo watakuwa mawaziri
1.Steven Wasira
2.George Mkuchika
3. eng Christopher Chiza
4...
Aliikubali sana tume ya Taifa ya uchaguzi.
Alimshukuru sana msimamizi
Aliwashukuru sana jeshi la polisi
akasema amejifunza kutohamasisha vurugu badala yake ni kutekeleza ahadi za...
Dr. Wa mihogo soma hii
LOWASSA ni "Asset au Liability.
-Kabla ya ujio wa Lowassa ndani ya chadema, chadema ilikuwa na majimbo 23 tu na viti maalumu 26 na kuwa na wabunge 49 ktk bunge la 10...
Akiwa mkutanoni Singida amedai kuwa sheria inaruhusu na Rais anataka kutufanya nini tukisubiria matokeo?
Rais aitishe mkutano wa wenyeviti kujadili swala hilo.
My take; unaweza ukashangaa...
Kwanza niseme hatuko tayari kuvunja sheria zilizowekwa japo wakubwa hawa jk NEC na police wamedhamiria kuzivunja sisi vijana tunasema tupo tayari kwa lolote ili mradi sheria za uchaguzi zinafuatwa...
Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada...
Kama mlimsikia mheshimiwa mmoja wa NEC kasema hawataruhusu watu wasubiri matokeo kwa kuanzia umbali wa mita mia mbili hadi mia tatu ,Je unajua kwa nini ?
CCM watatumia malori kuleta watu katika...
Tayari wakili jembe na nguli Peter Kibatala akiambatana na wanasheria nguli wa Ukawa Prof Safari, Mallya na Tundu Lissu asubuhi ya leo amefungua kesi mahakama kuu kuishitaki NEC kwa ukiukwaji wa...
Wasomi Wetu Wananishangaza Sana, Unakutwa Mtu Anajiita Mwanasheria Wakati Hata Baadh Ya Sheria Hazijui, Nina Mashaka Sana Kama Waafrika Tutaacha Uzembe Wa Kujisomea Maandiko Mbalimbali.
Sheria...
Wasalaam wanaJF !
Tukiamua kuhukumu tunatakiwa kukusanya ushahidi na kuhukumu kwa haki.
Mada hii inawaendea wote kwa maana ya Chadema asilia,wanaccm,Team lowassa na wananchi kwa ujumla...
Kwanini mnajifanya viziwi na vipofu..!!? Kwanini mnaanza kutoa mawasiliano ya wapiga kura kwa CCM...? Hii inamaanisha NEC mnahujumu UCHAGUZI WAZI WAZI...!! Hata kabla ya kupiga kura..!!
Mfano...
Mmiliki wa kampuni maarufu duniani ya Rich Dad ambayo inajihusisha na utoaji wa elimu ya biashara Robert Kiyosaki katika kitabu chake cha Why I Want You To Be Rich (Kwanini Nataka Uwe Tajiri)...
Mgombea wa Chadema ashinikizwa kurudisha fomu na wanachama huku makubaliano yaliyotoka Ngazi ya Ukawa Taifa zikimtaka mgombea wa NCCR.
Hii imetokea katika majimbo matatu ikiwemo Kakonko na...
HONGERENI TENA SEGEREA: NINA FURAHA TELE NA SIJATETEREKA!
Na. Julius Mtatiro,
Ndugu zangu, nimejulishwa na mtu muhimu sana kwamba jimbo la Segerea limeachwa chini ya CHADEMA lakini ndani ya...
Katika kuthibitisha ule usemi wa wananchi wengi kuwa UKAWA ni genge la wapiga deal inaonekana mnyukano wa kugawana vyeo umeanza rasmi kabla hata ya kikao cha bunge.
CUF wanalalamikia Anatropia...
Baada Ya Kukaa Kwa Miaka 19 Bila Kuwa Na Mbunge Wa Kuwatetea Watu Wa Manyovu, Sasa Jimbo Hilo Kuna Dalili Njema Za Kukombolewa Kutoka Mikononi Mwa Wakoloni Weusi Yaani CCM ni Kijana Japhet Manase...
Narudia tena kuwa sioni kama kweli sura hizo zina ubavu wa ku-reform system iliyokwishajengeka ndani ya serikali hii ya Tanzania. sioni kama mmoja wao kati ya hao anayesubiriwa kuteuliwa kukiuza...
Ndio muonekano wa chadema ulivyo sasa. Hawa asili akiwemo Slaa wamebaki kupigwa butwaa hawaamini yanayotokea na yanayoendelea chamani.
CHADEMA Mbowe wao wanaamini uamuzi wa kubadilishia gia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.