Daktari wa falsafa John Pombe Magufuli Mnyatuzu halisi kutoka Biharamuro Geita Kaskazini mwa Tanzania ni mmoja ya wasomi wa chache wenye kutokeza mbele ya uso wa binadamu kwa kigere na tashwishwi...
Karatu.
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema akipata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa Tanzania, atamteua mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi.
Mgombea...
MAFANIKIO KATIKA SEKTA YA UJENZI: UWEZO NA KASI YA MAGUFULI KULETA MABADILIKO YA KWELI
Ni vigumu sana kuzungumzia sekta ya ujenzi na mafanikio yaliyofikiwa na wizara ya ujenzi katika kipindi cha...
Mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda UKAWA amesema, kila Mtanzania anatakiwa aneemeke na rasilimali zake zilizomo nchini sio wageni.
Pia akaongeza akipata ridhaa kuwa Rais...
Leo katika Hali isiyo ya kawaida wachungaji wavamia Eneo la Area D ambapo ni Makazi ya viongozi mbali mbali wakimsaka Edward Lowassa. viongozi hao wa dini walikuwa na shauku kubwa na nyuso za...
Mwaka 2010 hoja ya udini na ufisadi zilitawala katika kampeni na kupelekea kosakosa ya Chadema kuingia magogoni.
Tunapoelekea oktoba 2015 tunaona hoja ya UFISADI ikiibuka tena kama dhambi ya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward N. Lowassa alitoa hotuba wiki chache zilizopita wakati anatangaza nia ya kutaka kuwa mgombea wa Urais kupitia tiketi ya...
Mgombea Urais kupitia Mwamvuli wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.
Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa...
Mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM umeshakamilika, na mgombea aliyepatikana ni John Pombe Magufuli. Pamoja na hayo, ukweli unabakia kwamba katika mchakato wa kutafuta wadhamini...
Ndugu Wananchi,
Mimi kama mdau wa siasa na mzalendo kwa nchi yangu naomba nitoe ushauri ufuatao kwa UKAWA pamoja na Lowassa. Najua kuna watu inaweza ikawa ngumu sana kuelewa point yangu, lakini...
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ( UVCCM) MAKAO MAKUU DAR ES SAALAM KWA VYOMBO VYA HABARI JUMAPILI 30 AUGUST 2015.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Agosti 29 kimezindua kampeni...
Habari Zenu Watanzania, Mimi Nina Sababu Kusema Huyu Jamaa Hafai Na Kifuatia Yafuatayo
1. Nasikia Tuhuma Na Kashfa Alipokuwa Mkurugenz AICC
2. Tuhuma akiwa wizara ya ardh kuhusu ranchi
3. Tuhuma...
Mtatiro: Mjue John Magufuli Nani ni Nani Uraisi:
Historia yake
John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1959 huko wilayani Chato Mkoani Kagera (hivi sasa Chato ni wilaya ya mkoa...
Friday, August 21, 2015
Juma Mwapachu
I believe earnestly that Tanzania is on a certain and definitive pathway towards a turning and tipping point in its history. It is a momentous stage where...
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela mwishoni mwa wiki iliyopita alichukua fomu ya kuwania ridhaa ya ubunge wa Jimbo la Iringa mjini na kuwatahadharisha...
Mwanasiasa Edward Ngoyai Lowassa ambaye yupo katika sintofamamu na chama chake CCM atazungumza na waandishi wa habari leo au kesho nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam iwapo atawahi kumaliza...
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema mafisadi hawawezi kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa wanamwogopa.
Dkt. Magufuli aliyasema hayo jana kwenye...
Nukuu muhimu
1-
"Nilikuwa ni mjumbe pekee niliyepigwa vita na makundi yote. Mabilioni ya pesa yalichangwa na kuagiza wajumbe wasimchague Membe. Mlishuhudia jinsi kina (jina tunalihifadhi...
Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo...
=
=
=
=
=
Mwanza. Katika kile kinachoonekana ni mbio za urais 2015, makada wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameunganisha nguvu tayari kwa kinyanganyiro hicho.
Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.