Zitto ndio tumaini jipya la kuwakomboa watanzania wanaosumbuliwa na matatizao lukuki ya hii nchi.Zito kama kiongozi amejipanga kuwakomboa watanzania kutokana na umasikini, ujinga na maradhi...
Alalamika alimsaidia Kikwete Kampeni za urais lakini sasa yeye ametoswa
MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.
By Malisa GJ,
1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema hafikirii kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho wala ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
Alisema mwaka 2015, ndio mwaka wa...
kwa ufupi ndugu zangu watanzania naombeni ni waambie 2015 sitagombea Ubunge naendelea na dhamira yangu ya Urais, wale mnaonilazimisha naomba ni seme sitabadilisha msimamo wangu, Ikulu lazima...
Endapo John Pombe Magufuli atafanikiwa kushinda uchaguzi hapo Oktoba 2015, basi safari yake ya kuelekea ikulu
itashabihiana sana ile ya bwana Vladimir Putin kwenda Kremlin mwaka 2000.
Hebu...
KWA UFUPI
Baadhi ya ahadi za Rais:
1. Kununua meli mpya Ziwa Victoria
2. Kujenga reli mpya Kati kutoka Dar Salaam kwenda bara
3. Kumaliza migogoro ya ardhi
4. Kutokomeza ugonjwa wa malaria 2015
5...
Habari Wanajamvi,
Leo ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu hapa Mkoani Arusha, pale ambapo mgombea wa Urais kwa tiketi ya Ukawa Ndugu Edward Lowassa atakapotambulishwa rasmi mkoani hapa.
Hakika...
Mtia nia wa urais CCM Prof.Mark Mwandosya amesisitiza kuwa watia nia wote wa urais wanaosakamwa na masakata hatari ya Richmond na Escrow ni lazima wakatwe kugombea urais.
Kumbukumbu zinaonesha...
Katika ufunguzi wa kampeni za CCM katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam,CCM haikuonyesha jipya. Kama yaliyosemwa na Mgombea wao Dr. Magufuli na Mgombea mwenza Mama Samia ndiyo yaliyo kwenye...
Leo sikupanga kuandika jambo lolote sehemu yeyote kwani kwa kawaida leo ni siku yangu ya kujiongezea maarifa kwa maana ni siku yangu ya kuingia Maktaba kujisomea, lakini nimekuta mjadala...
Nauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.
Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza...
Leo hii Lowassa njiani akielekea Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA, amepata nafasi ya kusimama na kuwasalimu wakazi wa mnada wa Dakawa.
Amewashukuru sana kwa mapokezi na furaha yao...
KARIBU KATIKA KUIJUA ILANI YA CCM 2015/2020 ILANI AMBAYO NDIYO MKATABA WAKO MWANANCHI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA DR JOHN POMBE MAGUFULI:
ILANI YA UCHAGUZI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI...
Wanabodi,
Ni wazi kabisa kuwa kwa sasa ndani ya CCM mambo siyo swali kutokana na upepo wa Kampeini inayotumia.
Kwa sasa CCM wamekwishajua kuwa itakuwa ngumu sana Magufuli kushinda Urais...
Nimeona wana Ukawa wanapenda sana kuulizia viongozi mahala walipo eti wakisema ni haki kujua viongozi wako wapi.
Hebu Ukawa tuelezeni Lissu yuko wapi?
#hapakazitu
Umofia kwenu wana JF,
Wanasiasa wote pindi wanapokuwa wametia nia ya kutaka kuongoza nchi katika nafasi ya juu kabisa ya kisiasa duniani, kitu cha kwanza kabisa ni lazima mwanasiasa huyo awe na...
UKAWA wao wanadai linda kura yako ukishapiga. Ila CCM, polisi na NEC wao hawataki watu walinde kura. Huko nyuma CCM walishatamka kupitia Nape ya kwamba "ushindi ni ushindi tu hata kwa goli la...
Baada ya Mapumziko ya siku mbili, mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli ameanza rasmi ziara kwenye mkoa wa Lindi na asubuhi hii amefanya mkutano kwenye jimbo la Nachingwea.
Leo mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.