Wanajamvi habarini!
Nimelazimika kuuleta uzi huu hasa baada ya kuona blah blah za kisiasa zinavyozidi kuendelea hapa nchini ikiwemo upinzani kuusema vibaya utawala na jingine upinzani kuusema...
East Africa Television (EATV) Mgombea mwenza Urais wa CCM Bi. Samia Suluhu ameahidi shilingi milioni 150 kila kata jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kuwezesha wajasiriamali ili kukuza biashara...
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza...
Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.
Lubuva: Kwa kuwa mheshimiwa Dr. Magufuli, John...
Mimi nimeguswa sana na ushindi wa Magufuli sana sana,
Kwanza ili serikal yake isikwame naomba tu azingatie haya,
1.ateue waziri mkuu hasiyekuwa na Makuu hasiyejulikana kabisa, ambaye...
Nimeipata Sehem Kuwa Mengi Kazomewa Kwa Upendeleo Katika Habari,
Kuna Mtoa Habari Mmoja Kazomewa Kutokana Na Ubaguz Wake Katika Kulipot, Sasa Alivojitokeza Mengi Kazomewa Zaidi, Unahsi Ni Kweli?
Ni ujinga na wehu kuamini candidate wa CCM John Pombe Magufuli anaweza kushinda uchaguzi mkuu Octoba.
Nasema haya ukizingatia Magufuli huyu huyu jimboni kwake Chato pamoja na kuwa mzaliwa na...
Na Charles William
Dr. Asha-Rose Mtengeti Migiro ni moja kati ya majina ya watanzania wachache wenye rekodi za kushika nafasi kubwa na za heshima kubwa duniani, akiwa amewahi kuteuliwa kushika...
NB: Video Inafuata
Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na...
Kama umewahi kutoa mzigo pale bandarini utakuwa ume ona bank moja iitwayo M bank ambayo hukusanya mabilioni ya fedha za walipa kodi.
Hiyo bank haina kazi nyingine bali kukusanya kodi.Kwa nini ipo...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema Chadema siyo mali yake wala mali ya mtu yeyote bali ni mali ya wanachama.
Kutokana na hali hiyo, amesema kama...
Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now. Na amekuwa...
Mimi sijamuelewa Mhe. Magufuli leo akiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara amesema:
- Kabla waziri Kigoda hajapelekwa ICU nje ya nchi niliongea nae...
Hakuna Mjadala tena Maccm yamepoteana kabsa hawaelewi pakuingilia wala pakutokea kwasasa kwan maccm yamekataliwa kila mahali c vijjn wala town, walichobakiwa nacho ni ile asili yao ya kukataa...
Kwa maoni yangu Seif Sharrif Hammad ni Mwanasiasa aliyeiva kisiasa haswa kwa upande wa Upinzani apewe nafasi na UKAWA kugombea uraisi wa Tanzania.Sababu pia anakubalika pande zote za...
Katika kile kinachoelezwa ni kujipanga kwa vyama vikuu vya upinzani nchini kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Kumekuwepo na mazungumzo ya Ndugu Zitto Kabwe Kurejea Chadema na Maalim Seif Shariff Hamad...
CHADEMA (UKAWA) wakitaka CCM wachanganyikiwe mwaka huu, na kubadilisha mchezo mzima wa kunyang'anyana kiti cha urais, Oktoba, 2015, wamchague Tundu Antiphas Lissu kupeperusha bendera ya...
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki...
Gazeti la Raia Mwema leo lina Makala nzuri sana ya kudadisi matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu.
Mbowe ali "m-procure" Lowassa dakika za mwisho kabisa katika kumpata mgombea wa urais baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.