Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefungua pazia la kampeni za chama hicho kwenye Viwanja vya Jangwani katika tukio lililohudhuriwa na maelfu ya wananchi, huku akieleza mambo 25...
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takriban wiki sasa. Lengo ni kuwajuza kinachojiri katika mchakato wa CCM wa kumchagua mgombea wake wa Urais.
Jana lile Jasusi na Kachero Mstaafu wa Idara Ya...
Nimeanza kuunganisha dots na kwa mbaali naiona picha kuwa kitendo cha Jasusi mkuu mstaafu wa nchi yetu kujiunga na kambi ya Lowasa kilikua ni cha kimkakati zaidi. Kwa wanaomfajamu Apson na...
Wadau amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde kutoka kwa mdau wangu zinasema kuwa Apson Mwang'onda, Mwenyekiti wa Wezesha Lowasa Aende Ikulu ameanza vikao vya kuwashawishi baadhi ya...
Ahadi za JK kwenye kampeni za kusakaurais 2010
============================
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji...
Jonson Mwambo
NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwamba sitaonekana tena katika safu hii kuanzia toleo lijalo hadi mwanzoni mwa Desemba mwaka huu.
Sababu yenyewe ni kwamba narejea...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti...
Kipigo nilichokipata tangu Kikwete aingie madarakani na 'declare' siku ya leo kama sikukuu kwangu, nasherehekea kwa sababu zifuatazo,
- Naachana na rais ambaye hakuwa serious kulingana na umuhimu...
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na...
Wanajamvi habari zenu,Mungu awe nanyi.
Naomba mwenye majibu anisaidie tafadhari,hivi kwa hapa jijini DSM mgawanyo wa madiwani upoje? Ningependa kujua hivi kuna jumla ya madiwani wangapi?
Je...
Nimejaribu kujiuliza sana na ninashindwa kupata jibu!
Lowassa ninayemuona na kumsikiliza kwa sasa sio yule ambaye alikuwa akiongea anakuvuta katika hisia kumsikiliza.
Lowassa wa zamani alikuwa...
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015
- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na...
More defections in CCM as country asks:-
Where is the Chief of Defence Forces?
The answer to the question ‘who next?' that has been lingering on for some time, was partly answered by yet...
mgombea urais wa ccm magufuli mara nyingi amekuwa akiongea maneno ambayo mm naona kama anaipinga au kuishutumu serikali ya awamu ya 4 pale anaposema:
>nashangaa kuona akina mama wajawazito...
Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena...
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka...
Niliwahi andika hapa kwamba CCM ni Chama Cha Mapinduzi (ila si mageuzi ya usitawi)....Na Hii inatokana na ukweli kwamba CCM ni kinaenzi revolution overthrowing) na si revolution (abrupt and...
Kwa mwenendo wa kisiasa nchini mtakubaliana nami kuwa uchaguzi mkuu 2015 ni mwisho wa wabunge waliozoea kuchaguliwa kwa mkumbo wa bendera ya ccm.
Nasema hivi kwa kuwa chama changu kimepoteza na...
Ni wazi ndani ya JF kulikuwa na battle kubwa ya kushawishi umma nani ni nani kati ya Rais mteule Magufuli na mshindwa Lowassa.
Team Magufuli kwa kifupi iliwakilishwa na
mimi mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.