Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.
Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.
lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka...
SIKU TANO ZA KAMPENI: YAFUATAYO YANAONESHA DHAHIRI KUWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZINASHIRIKIANA NA CCM KUJARIBU KUHARIBU UCHAGUZI HUU;
Na. Julius Mtatiro.
1...
Kwako Julius S. Mtatiro kwani zamani nilikuwaje?
Zamani nilisema wezi na majizi wanaoutaka Urais kupitia CCM wakatwe, na nikaendelea kusema wasingekatwa ningepiga kampeni CCM isichaguliwe...
Akichangia hoja Fulani professor huyu aliwahi kusema CCM itatawala weweee, kuanguka ni labda baada ya miaka 50,na hii ilikuwa kauri yake katika bunge lililopita, nakumbuka nilimwonya kwa kauri...
Habari wakuu,
Leo ni muendelezo wa kampeni, mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi ndugu Magufuli leo yupo uwanja wa Samora mjini Iringa. Tuwe pamoja kujuzana yanayojiri kutoka Iringa.
======...
Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo...
Leo ni August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na...
Wanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki...
Wanabodi,
Kwa jinsi nilivyoshuhudia igizo la uchaguzi wa marejeo wa Zanzibar, kupitia ITV, igizo la uchaguzi huu, limekidhi vigezo vyote vya uchaguzi huru na wa haki, hivyo ulikuwa ni uchaguzi...
AGOSTI 22, mwaka 1904, katika kijiji cha Xiexing Guang'an Jimbo la Sichuani nchini China, katika ukoo wa Hakka Han, mke wa pili kati ya wake wanne wa mzee Deng Wenming, siku hiyo alibarikiwa...
Wanajamvi nauliza maswali matatu maana najua ntapata majibu sahihi toka kwa wanajamvi mahiri
1, Hivi mgombea urais anaweza kufikishwa mahakaman wakati wa kampen kwa kosa la ufisadi wa muda...
Samson Mwigamba
HABARI za siku nyingi wapenzi wasomaji wa
safu hii. Wengi mmekuwa mkinipigia simu na
kunitumia ujumbe mfupi wa simu mkiuliza kwa
nini nimetoweka hewani.
Kama mnavyojua baada...
Kuna majanga ya aina nyingi ambayo kimsingi binadamu anakutana nayo.Kuna majanga ya asili na majanga yanayotokana na kazi za binadamu.Lakini majanga ya asili ni rahisi sana kuepukika,kwani ni...
Ni takribani wiki mbili sasa mchakato WA kumpata mgombea ndani ya Chama tawala umemalizika.Katika michakato yote ambayo chama hiki imefanya,Ni wazi kuwa mchakato huu ulikuwa na changamoto kubwa...
Nimefatilia kwa umakini, nikagundua kuna maripota wanastahili heshima kwenye kazi zao. Hawababaishi, wanaripoti habari na matukio ya kampeni kama yanavyotokea bila upendeleo au kuzidisha chumvi...
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.
Mkuu Mbowe huna sababu ya kususia matokeo ya uchaguzi, kulikuwa na kila sababu kwa nyinyi kushindwa na miongoni mwa sababu kuu ni hizi hapa:-
1.Taswira ya team ya kampeni (team ya kanda vs taifa...
Lowassa akiwa Mkoani Njombe amerudia kauli ya baba wa taifa"amesema"wananchi wanahitaji mabadiliko,wasipoyapata ndani CCM watayatafuta nje ya CCM".
Chanzo: Itv Habari
My take:Kwa kauli hii ni...
Inakera sana kusikia wapinzani wakibeza na kupotosha historia yetu kama taifa kuwa kwa takribani nusu karne sasa Tanzania haijafanya lolote chini ya chama tawala,CCM. Huu ni upotoshaji mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.