TWEET
SHARE
SHARE
COMMENTS
.
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha...
Mwaka 1995 Mwl.J.K. Nyerere alitoa sifa za mtu anayetaka kuwa Rais wa Tanzania kwa mwaka ule, uchaguzi ulioshirikisha vyama vingi toka vyama vingine vilipopigwa marufuku na TANU mwaka 1965. Miaka...
Wana JF,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo...
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chadema, Benson Kigaila
MGOMBEA Ubunge katika jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila amekata...
Naanza Kwa Kukusihi Moderator Usi Move Uzi Huu,
Edward Lowassa Ana Faida Kwa Taifa Ili Mfano
1. Atatumika Kama Case Study Ya Kufundishia Somo La Ubadhilifu Wa Fedha,Au Kama Sample Space Kwa Masomo...
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa...
Heshima mbele wanajukwaa!
Kati ya mwaka 2010-2015 tukubaliane kwamba CHADEMA imefanya kazi kubwa sana ya kujijenga kitaasisi lakini pia katika kujitafutia mtaji wa wapiga kura. Hecko kwa CHADEMA...
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!
ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha...
Kuna watu wana tabia ya kupinga kila kitu hata kama ukweli unaonekana wazi watapinga tu.
Mimi naamini hiki ninachokiongea ni ukweli usiopingika, uvumilivu wa wapinzani ndio umeiponya tanzania...
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :
Dr. John Magufuli 87%,
Balozi Amina Ali 10% na
Dk. Asha-rose Migiro 3%
Update: 14:00
John Magufuli, amemtangaza mgombea mwenza...
Soma tena neno kwa neno hapa chini ulinganishe na hali ilivyokuwa:
HISTORIA YAKE
John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1959 huko wilayani Chato Mkoani Kagera (hivi sasa...
Ilikuwa ni mtikisiko siku ya Alhamisi Jimboni Ukonga.Umati mkubwa wa watu ulimsindikiza Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kivule Mwita Mwikabe Waitara wakati akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa...
Jamaa wakimkumbuka Jecha matumbo yao huwa yanawakata, mate yanawajaa midomoni, usingizi unawapaa na wanashikwa na simanzi la hali ya juu. Jecha ni alama yao ya matumaini yaliyofifia mithili ya...
Kuna siku mh Rais Kikwete alikemea viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa, kwani viongozi mnaowanadi, siku wakishindwa, waumini hawatawaamini.
Mwaka mpya wa 2015, Nyalandu alikua kanisani kwa...
Wakuu salaam,
ndugu wana jf busara itumike mtu anapokuja hapa janvini kumchafua lowasa kwa uongo.
Kama una chuki binafsi tafadhari sana mfate lowassa personary lakini sio kuja hapa kupotosha...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM, Dk. John Magufuli, amewashangaa watu wanaokejeli safari za nje za Rais Jakaya Kikwete, akisema manufaa ya ziara hizo ni makubwa kuliko...
Sehemu ya kwanza
03.11.2019
Kutoka nje wakati Rais wa jamhuri wa Muungano anahutubia bunge kwa mara ya kwanza hii ilikuwa ni dharau kubwa kwa Kiongozi wa Nchi. Bahati mbaya walikuwa wanatikisa...
CHADEMA itafanya nini:
Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. Hii ni pamoja na kujenga uwezo wa kuzalisha mataluma ya reli nchini...
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia...
Wakuu,
Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa chini;
1. Arusha -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.