Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Tanzania ina vyama 22...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Mbeya leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa.
22 Reactions
645 Replies
80K Views
Magufuli hafai kuwa rais kwa sababu hizi, 1.Sio mwanasiasa.Tanzania bado haipo tayari kuongozwa na mtu asiye mwanasiasa.Tanzania inahitaji kiongozi mwanasiasa anayeweza fanya lobbying na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tanganyika Ilipata Uhuru Mwaka 1961 Japo 1964 Uhuru Kamili Wa Nchi Tanzania Ukapatikana,ingawa Tanzania Ilipata Mwanaume Mwanasiasa Mwenye Heri Julius Nyerere Mwaka 1958 Alivyochaguliwa Kuwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
ILANI YA CCM KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 1. Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
371 Replies
54K Views
Tunapenda kuwataarifu wanachama wetu na umma wa Watanzania kuhusu masuala yafuatayo: Mwenendo wa Kampeni za CCM Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgombea Mwenza, Ndugu Samia...
19 Reactions
583 Replies
49K Views
Tangu, nchi hii ya Tanzania ipate Uhuru imepita katika vipindi mbali mbali vya uongozi. Katika vipindi hivyo tumeshuhudia viongozi wenye sifa tofauti. Lakini walikua na moja ya sifa ambayo ilikua...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
DKT.Magufuli akiwa Singida na baadhi ya wadhamini wake.
6 Reactions
78 Replies
14K Views
Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa...
2 Reactions
127 Replies
25K Views
WanaJamvi Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa...
6 Reactions
58 Replies
10K Views
Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Freddy Lowassa amejitoa katika kinyang'anyiro cha kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CHADEMA katika Jimbo la Monduli. Freddy alitoa taarifa ya...
3 Reactions
112 Replies
19K Views
Wana Jamiiforums, Nimepitia sehemu kadhaa nikiangalia maoni ya watu wengi, walikuwa wakilaumu wapinzani kuingia kwenye uchaguzi bila kurekebisha sheria za uchaguzi na tume huru, majimbo mengi...
1 Reactions
58 Replies
4K Views
Nauliza hivi kweli kuna mtu ambae hajawahi kua refered kwenda milembe anategemea au anawaza kwamba Magufuri atakua rais wa Tanzania? Magufuri awe rais kwa kipi au sifa gani aliyonayo, what is...
13 Reactions
76 Replies
9K Views
Ingawa hakuna kanuni inayohitaji mgombea Urais (CCM) kuwa mjumbe wa NEC, imekuwa ni utamaduni kwa kigezo hiki kutumika, na itaendelea kuwa hivyo for the next foreseeable future; Hii ndio sababu...
41 Reactions
203 Replies
43K Views
Wanajamvi habarini! Niliweka post hivi majuzi na kuahidi kurudi tena na kuelezea kwa nini nimeamua kushawishi umma wa Tanzania ya kwamba TANZANIA ya leo inamuhitaji Tundu Lissu kama mwajiriwa...
49 Reactions
352 Replies
48K Views
Zipo juhudi kubwa za kuwapumbaza watanzania kwa kile kinachoitwa kuwaelewesha ili kufanya Informed Decision kwa kumchagua LOWASSA wa Ukawa dhidi ya MAGUFULI wa CCM..juhudi hizi zilizoimarika hivi...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Akiwa amekwishatembea mikoa 13, wilaya zake zote na majimbo yote akizungumza na watanzania kwanini wamchague yeye Dkt. Magufuli amekuwa akionekana mtu anayemaanisha kile anachokizungumza ameaahidi...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
DEUSDEDIT JOVIN KAHANGWA ni majina yangu matatu. Kupitia ukurasa huu, napenda kutangaza rasmi kwamba, ifikapo Oktoba 2015, nitagombea tena ubunge wa Karagwe, kupitia CHADEMA. Dhamira yangu...
6 Reactions
45 Replies
11K Views
HAYA NDIYO MAONO NILIYOYAONA KWA NCHI YETU TANZANIA KABLA NA BAADA YA UCHAGUZI. Naliona bendera ya Taifa letu ikiungua na kutoa majivu kisha nikaona zaidi haya. Najua wengine watadhihaki na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
wananchi wa Jimbo la kilindi mkoani Tanga wameweka msimamo wakuto kumchagua mbunge wa ccm katka uchaguzi mkuu kwa kua mgombea huyo wa ccm hakua ni chaguo lao, wasema mgombea huyo wa ccm alibebwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom