HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE...
Wanabodi,
Kama ilivyo kawaida yetu jf, wewe kama mwana JF, una pata ile kitu inaitwa the jf advantage to "be the first to know" kuwa ujio wa Lawassa kujiunga Chadema, sio tuu utakipaisha...
Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
Wanabodi,
Jumapili ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea kuhamasisha, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kwa muktadha wa kuchagua kuendelea kuwa masikini, au kuchagua utajiri!.
Wakati...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa...
Wanabodi,
Wakati Watanzania tukijiandaa kukumbuka kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwallimu Nyerere, naomba kutoa angalizo la kuizuia kumbukumbu hiyo isitumike vibaya kuupotosha umma eti kuna watu...
Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio...
Wanabodi,
CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!.
Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa watu tulijibainisha humu kumuunga mkono kwa dhati, Mwamba wa Kaskazini, Edward Ngoyai Lowassa, na tukaahidi humu akiondolewa kwa mizengwe, hatuta kubali...
Wanabodi,
Baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Mkuu "Mstaafu", Edward Lowassa katika two- series za kipindi cha Dakika 45 cha ITV, kwanza nimemkubali sana huyu jamaa!, pili kama yeye ndiye...
Wanabodi,
Habari za Jumapili.
Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei"
ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au...
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!.
Wanabodi,
2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart...
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
Alikua Tanzania one Form four na Form six
Ni zao la Ilboru sekondari
Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one...
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction...
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.
Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.
Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya...
Kuna uwezekano mkubwa ikitokea Magufuli kwa bahati mbaya au CCM ikitumia umafia kuiba kura halafu ikaingia Ikulu atajikuta anapata wakati mgumu sana kuongoza.
1.Hana uwezo na busara za kiuongozi...
Wanabodi,
Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM...
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.
Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa Segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.