Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma.
Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12...
Kuanzia 1995,2000,2005,2010, Kuna Wenye Record Mbaya, Ebu Futa Record Hiyo Mpgie Magufuli Angalau Upate Tick Moja, Na Wale Ambao Ni Uchaguz Wao Wa Kwanza Mpe Magufuli Ili Usianze Na Record Mbaya...
MVURUGANO mkubwa ulizuka katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya wajumbe wanaomuunga mkono Edward Lowassa, kubaini jina lake limekatwa.
Hali ilikuwa hivyo baada ya...
Wadau, amani iwe kwenu.
Jina Apson Mwang'onda si geni kwenye mitandao ya kijamii. Umaarufu wake haukutokana na utendaji kazi wake akiwa kwenye idara nyeti hapa nchini, la hasha. Umaarufu wake...
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.
======
UPDATES; 00:15HRS
Aliyekuwa mbunge wa...
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina...
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa.
Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais...
Ndugu wana-JF habarini.
Mimi kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu, mnalichukuliaje suala la mgombea urais kupitia CCM kumwambia Antony Diallo kuwa atamlinda saaana kupita maelezo pindi...
Wanabodi
Siasa za Tanzania ni kizungumkuti!. Ni siasa za ubabe, uongo, chuki, fitna na kukomoana badala ya kuleta maendeleo. Chama tawala CCM ni chama dola, hivyo kinatumia uchama tawala wake kwa...
Leo Katika Matembezi yangu kule kigamboni kila weekend huwa napitia huko south beach, Mkononi nilikuwa na Gazzet lenye picha kubwa ya Magufuli, nilipofika maeneo wanapo camp wachina wanaojenga...
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera.
Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu...
Akifanya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo...
Habari wanabodi
Nyota ya Katibu mkuu wa CHADEMA inazidi kung'aa baada ya mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam Proffesor Benson Bana kusema kwamba mwanasiasa mwenye nguvu kwa sasa anayeweza...
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano...
Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA.
Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania kwa kutumia...
Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.
Kwa jinsi NEC inavyoendesha...
Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako...
Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite
Yaelekea Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.