Hesabu za wanasiasa huwa ni za kujua wao wenyewe tu. Hivi kweli Chato kunahitajika uwanja mkubwa wa mpira wa miguu kama wa Taifa (kwa Mkapa) wa kazi gani?
Kama huu mmoja Dar na uwingi wote wa...
MKUU wa upelelezi wilaya ya Arusha(OC-CID), Damas Masawe (44) amesema wazee pekee ndio wanaotakiwa kuota ndoto hivyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema hakustahili kuota ndoto dhidi ya Rais...
Nawazungumzia watu kama Godlisten Malisa ambaye ajira yake ya kwanza aliipata ndani ya ofisi ya KUB baada ya Chadema kushinda kura nyingi na kuwa chama kikuu cha upinzani kwa mara ya kwanza...
Mashambulizi ya Viongozi na MaCCM dhidi ya Tundu Lissu ni kiwewe cha wenye mapepo ya ukosefu wa hekima, busara na hofu ya kushindwa kwao kwa jaribio la dhuluma ya nafsi ya TUNDU LISSU.
Lissu...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu...
Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye.
Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi...
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Jenerali Mabeyo amefanya teuzi kadhaa ndani ya Jeshi la wananchi. Kanali M.E. Kaguti ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kigoma amepandishwa cheo na mkuu wa...
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya...
Tundu Lisu ni mwalimu wa elimu ya uraia na kujitambua japo mwenyewe hajui.
Tundu Lisu anadamu ya kufundisha haki, demokrasia lakini yeye na wanaomzunguka wanamuaminisha kuwa ni mwanaharakati ndio...
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa...
Ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini (Shaba) Nala Mkoani Dodoma ni mkombozi wa wachimbaji wadogo na unakwenda kutibu changamoto katika eneo la kimadini
Waziri wa Madini Anthony Mavunde...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imependekeza Wizara ya Kilimo kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ivunje mkataba na Mkandarasi Badr East Africa Enterpries Limited...
Kama umesahau ngoja nikukumbushe
Akiwa Makamu wa Rais Dr Samia alikwenda Nairobi hospital kumtamkia Tundu Lisu Baraka za uponyaji. Dr Samia ni Kiongozi pekee wa ngazi ya Juu aliyekuwa madarakani...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi...
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya...
Huyu Rose Mayemba Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA namfananisha na Kamala Harris wa Marekani hapa Mdee na Bulaya wakasome
Nimesikiliza wanasiasa wengi sana hapa Tanzania na Africa huyu binti ni...
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel...
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali...
Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM
Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya.
Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha...