Wakuu,
Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?😲😲😳
Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu...
Ndugu rais.
Nakusabahi, hata hivyo nina swali kwako. Ni zaidi ya miezi sita sasa, kijana, mtanzania amepotea.
Umma wa Watanzania umepiga kelele kuhusu kupotea kwa kijana huyu lakini siyo ofisi...
NGOJA TUONE HII VITA KATI YA MAJINI NA ROHO MTAKATIFU
--------------------------------------
Mtumishi wa Mungu Tundu Lissu katika Misa ya Shukrani kijijini Mahambe Ikungi hakika Bwana wa Vita...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi...
Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,....
Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia.............
Nchi inauzwa hii....................
2025 arudi...
Naiomba Serikali ya Tanzania ifanye jambo Congo, kwa haya yanayoendelea pia Tanzania haipo salama hata kidogo na sijui ni kwanini Tanzania inaonekana kama kuna kitu nyuma yake ni kama imerudi...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada...
Ni kosa kisheria kutumia watoto katika shughuli za kisiasa zinazohatarisha afya, elimu, au ustawi wao. Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Katiba, na miongozo ya kimataifa ambayo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Baraza lake la Vijana (BAVICHA), kimeeleza kusikitishwa na hali mbaya ya ajira kwa walimu nchini, kikisema kuwa tatizo hilo ni “bomu...
sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274.
-Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei.
Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo...
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja.
Lakini atumuoni wakati hili...
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutokea Mkoa wa Geita , Evaristi Gerevas amewataka vijana wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa wasindikizaji na kubeba mikoba ya...
Wakuu,
Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu
Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu...
Wakuu
Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa.
Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana...
Mazungumzo Magumu na Tundu Lissu
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadema, Ndugu Tundu Lissu alifanya mahojiano na BBC kupitia kipindi chao cha Hard Talk yani Mazungumzo Magumu. Mahojiano hayo...
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya...
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na...