LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu...
Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka...
Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi...
Rais Magufuli amtaka Mo Dewji kujali maslahi ya wafanyakazi wake kama Anavyoijali Simba
Rais Magufuli amemtaka Mfanyabishara Mohamed Dewji (Mo Dewji), kuhakikisha anajali maslahi ya wafanyakazi...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga...
LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
Wakuu,
Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike?
Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka?
Siku ya...
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Bara Mzee Stephen Wassira amemuonya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed Seif kuacha kubeba wagombea wa nafasi za Ubunge wasiokubalika na wananchi kwani...
Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa...
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana...
Tazama mapokezi ya Lissu Ikungi akielekea kufanya mkutano mkubwa nyumbani kwao Ikungi Singida
Fuatilia uzi huu kujua nini kimejiri
https://www.youtube.com/watch?v=qi1dGtNY5c0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa...
Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza wataalamu wa wizara yake kufanya tathmini ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi kwa ajili ya AFCON 2027 katika eneo la...
15 February 2025
Ikwiriri, Rufiji
Tanzania
BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA
NI KODI ZETU
https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E...
Baadhi ya watu wa chama cha kijani wanatumia nguvu kubwa na muda wao mwingi kufanya kila waliwezalo kuhakikisha Mbowe harudi madarakani iwapo ataamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA Taifa...
Wakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta...
Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua...
Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu?
1. Vijana,
2. Ukosefu wa ajira?
3. UTEKAJI/abductions,
4. Kuwawezesha wanawake?
5. Ulinzi wa watoto?
6. Mabadiliko...