BAADA ya Mbunge wa Karatu (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa kuibana serikali kuhusu vipengele vilivyoongezwa kinyemela katika muswada uliosaniwa na Rais Jakaya Kikwete kwa mbwembwe wiki iliyopita...
Wadau,
Serikali ipo katika mchakato wa kuandika MKUKUTA na karibuni rasimu itatotlewa kwajili ya kupokea maoni ya wadau.
Nimeambatanisha rasimu ya kwanza inayoonyesha maeneo ya kipaumbele...
Hakika hakika ni lazima tuwe na tahadhari kubwa kama si angalizo .Wiki iliyopita mgogoro wa ardhi kati ya Jeshi la kujenga Taifa na wananchi umezuka hapa wilayani,
maswali ya kujiuliza
Hawa...
FAMILIA ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Daniel Yona, iko katika mvutano unaomhusisha aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini, Mchungaji Charles Stith. Katika...
Ndugu zanguni habari nzito na ushahidi zinaonyesha jinsi gani CCM na Seeikali za Mitaa yaani Tamisemi wanavyo weka mbinu za wizi wa kura katika uchaguzi mkuu .Madiwani wote na watumishi wa...
SISI wakazi wa Dar na vitongoji vyake tunajua leo wenye daladala wameamua kufanya unyama wao na kuonyesha kukosa utu na ubinadamu wao. Tunaikubali shida hii ya leo, na tunawapa moyo SUMATRA kuwa...
baada ya kukaa ng'ambo kwa mda mrefu nimerudi na kukuta zoezi la kuandikisha kupiga kura na leo ndio siku ya mwisho.
nimekwenda kituoni kwa nia ya kujiandikisha lakini watu ni wengi sana. mpaka...
Kwanza inabidi niweke wazi kuwa nimeweka jina la Dkt Slaa kwenye kichwa cha habari kwa vile ni mwana-JF mwenzetu na anatembelea hapa mara kwa mara.Otherwise,dukuduku langu linaihusu Chadema kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida kwa viongozi wa juu nchini kuonekana katika kumbi za starehe tena katika sare sambamba na waimbaji wa bendi, Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, juzi alikuwa miongoni mwa abiria walionusurika kupigwa baada ya wananchi katika eneo la Kabuku...
Ndugu wana JF,
Tafadhali naomba kufahamishwa: -
- Tanzania tuna majimbo mangapi ya uchaguzi?, majimbo mangapi yako chini ya chama tawala na mangapi yako chini ya upinzani?.
MAPINDUZI YA FIKRA!!
Ni muda sasa tangia kadhia ile ya refa alipoamua kukwatua! Na mi kwa sababu moja ama nyingine nikaamua kujikalia kando na kuwa msomaji tu wa kawaida. Lakini hali hile...
Habari za siku nyingi ndugu wanaJF
Nimefanya safari nyingi sana ndani ya jimbo langu la uchaguzi ninalodhamiria kugombea na paoja na mambo mengine nilitangaza rasmi dhamira yangu hiyo. katika...
Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelala chini katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wodi namba 17 Sewa Haji kunakosababishwa na upungufu wa vitanda katika hospitali hiyo. (Picha na Peter Twite...
CALL FOR ACTION IN NORTH MARA GOLD MINE
Dear Colleagues and partners,
Greetings from North Mara in Tarime.
I wish to share with you some photos of the current situation in...
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kusaini Sheria ya Gharama za Uchaguzi wiki iliyopita, Serikali imependekeza matumizi kwa mgombea urais yasizidi Sh bilioni moja kuanzia kwenye mchakato wa kuteuliwa na...
- Wakuu JF, tuna habari za huzuni kwamba Mwanasiasa wa siku nyingi sana toka enzi za Mwalimu, amefariki dunia leo asubuhi sana. Tutawaletea habari zaidi za msiba na matayarisho ya mazishi.
-...
Comrades & compatriots,
What questions would you ask our beloved President, Jakaya Kikwete, if you would get a rare opportunity for one-to-one interview?
JK is one of the most important...
MNAJIMU wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amemwelezea Spika Samuel Sitta kuwa ni kiongozi ambaye kwa sasa yuko juu na kwamba, hakuna atakayeweza kumgusa kwa lolote...