Imeshakuwa ni muda sasa tangu ilipoamuliwa kuwapatia wanawake upendeleo wa kuwa na nafasi za Udiwani na Ubunge zijulikanazo kama Viti Maalum. Oktoba mwaka huu wa 2010 tunaendaq kufanya uchaguzi wa...
MTU anayedaiwa kuwa ni raia wa Uganda (Jina linahifadhiwa) anasakwa kwa tuhuma za kumteka mwanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Chuma mkoani Tanga, Amani Mohamed (7) ambapo ili...
Ilani ya uchaguzi ya chama chochote ni ahadi kutoka kwa chama hicho kwenda kwa wapiga kura. Kama waswahili wanavyo sema, ahadi ni deni. Basi ni wajibu wetu kama raia tunaotaka kufanya maamuzi...
BAADA ya baadhi ya wadau wa siasa kuikejeli Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwamba haiwezi kudhibiti ufisadi kwenye uchaguzi, Mkurugenzi wake Mkuu Dk Edward Hoseah, ametoa...
Kwanza kabisa napenda kutoa anaglizo... ikiwa unaona nimekurupuka pasipo kufikiri kuandika hii article basi niwie radhi au pengine ni uelewa wangu mdogo wa jinsi mnavyoendesha hii serikali yenu...
CCM, inajigamba kwamba ni chama kikongwe na kwamba itabaki madarakani milele. Sina tatizo na chama hicho kubaki madarakani milele, maana hata Banda, Bokkasa na Iddi Amin, walijitangaza kubaki...
Ndugu zangu mimi nilibahatika kwenda Tanzania mwaka jana, na niliona kwa macho yangu tatizo la foleni. Tatizo kubwa kwa mawazo yangu ni udogo wa barabara, barabara ni nyembamba sana. Tatizo si...
Chanzo Cha Habari: Gazeti la TUMAINI LETU
Mmiliki wa Gazeti: Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la D'Salaam
Toleo: 00302
Tarehe: MARCH 19, 2010
Ukurasa: 07
Wakati wananchi wa Philipines wakijiandaa kwa...
Katika pita pita yangu nimekutana na habari kuwa kampuni ya Yona iliingia mkataba na kampuni ya Enterprise Homes Tanzania Ltd ambao matokeo yake yalikuwa ni kuweza kujenzi wa nyumba zenye gharama...
Nimekuta hii habari kwenye gazeti la Mwananchi. Habari yenyewe ni ndefu kidogo hivyo nimefupisha na kusisitiza mambo muhimu.
Hivi kwa nini NEC/ CCM wanatabia ya kupuuza maoni yoyote ambayo...
Ni kweli rais wetu Jakaya Kikwete ana mapungufu katika sekta nyingi ikiwemo ya uchumi ingawa IMF imesema uchumi wetu unazidi kuongezeka mimi sioni kama wako sahihi lakini hili la utawala bora...
Serikali kufanya usanii rada
* Yaweza kuwatema akina Chenge
* Waokotwa 'vijana wa Kariakoo'
Na Ezekiel KAMWAGA
KESI ya "vigogo wa rada" imehamia kwa watu wadogo ikiacha watuhumiwa...
Date::3/19/2010: Mwananchi
Marekani yashupalia vita dhidi ya rushwa
Na Boniface Meena
SERIKALI bado inalegalega katika mapambano dhidi ya rushwa hali ambayo imechagia baadhi ya viongozi wa...
Rais Kikwete anatarajiwa kutia sahihi muswada wa sheria ya Gharama za Uchaguzi "kwa mbwembwe" kama alivyoahidi. Naomba nitofautiane kwa heshima na taadhima na wale wote wenye kuikubali sheria hii...
Achunguzwa kutumia madaraka vibaya kama Yona
Maswahiba zake wahaha kumuengua kashfa ya rada
WAKATI kukiwa na mkakati wa kumnasua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge katika kashfa...
Moja ya maeneo ya kupata elimu ni humu ndani ya JF.Na kwa kuwa elimu huombwa mimi nawaomba watu wanaojua masuala ya siasa na hata wanasiasa wenyewe wanieleze baada ya kutiwa saini kwa sheria ya...
RAIS Jakaya Kikwete amesaini Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya Mwaka 2010 katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, katika moja ya matukio ya nadra kwa mkuu wa nchi kusaini sheria kwa mbwembwe...