Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Matukio yalivyojiri katika picha... Mhe Pius Msekwa akihutubia wageni na wanachama wa CCM Tawi la Uingereza. Wageni waalikwa na wanachama wa CCM wakimkiliza kwa makini mgeni rasmi...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Masihara pembeni, na mimi wazee wamenishauri nigombee ubunge! (Jamani hakuna hata mtu mmoja anayesema 'nimeamua mwenyewe kugombea' kuwa Mbunge?) Lakini mpaka tunaenda mitamboni, sitagombea...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Diplomat's wife killed, houseboy on the run Ambassador Andrew Daraja painfully narrating how he found his wife stabbed to death at their home in Dar es Salaam today. By ROSE ATHUMAN...
0 Reactions
145 Replies
18K Views
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu. Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari Leo CHAMA cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimekiri kutoa waraka ambao wenyewe wameuita ‘tafakari' ukikishambulia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukituhumu kuwa ndicho kikwazo...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Source.Mwananchi http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=18438 Swali: Kuna suala hili la ardhi ambapo Watanzania wamekuwa wakipinga wazo la kuwakaribisha wananchi wa nchi za Afrika Mashariki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona ubalozi wetu huko London unawakilisha CCM zaidi ya serikali ya Tanzania.Tangu balozi wa sasa ateuliwe balozi nyingi zimefunguliwa karibu nchi nzima.Juzi alihudhuria mnuso wa CCM huko mjiniu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
OMBI MAALUM: Nimeamua kuliweka hapa hili ombi kwa sababu kuu mbili; Yakwanza ikiwa hapa ndipo wana-JF wengi zaidi wanafika ukifananisha na majukwaa mengi na sababu ya pili ikiwa ombi langu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mi nashangaa sana eti mjadala wa sasa ni 'haki sawa kwa wote' eti wakiwa na maana kuwa mwanamme na mwanamke wote wawe sawa kwenye kila nyanja, wana hoja yao eti wanawake wamekandamizwa mda mrefu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau mwenye soft copy ya Azimio la Zanzibar aning'inize humu jamvini pls! Salute kwa wote. ====== MAAMUZI YA ZANZIBAR, 1991 HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM, RAIS ALI HASSAN MWINYI WAKATI...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwenye wavuti ya Bunge la Tanzania kuna sehemu ya kumuuliza Spika: ASK THE SPEAKER Hon.Samuel Sitta(MP) Online interactive forum with the SPEAKER Cha kushangaza nimemwandikia Spika na kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauliza Mh Warioba mbona kimya,hapo zamani alikuwa na kawaida ya kutoa maoni au kushauri juu ya mustakabali wa nchi yetu pale Wakubwa walipokuwa wanafanya madudu yao.Lakini baadaye tukasikie kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kutokana na taarifa zilzo toka tume ya uchaguzi na nyaraka zake kutumwa kwenye vyama vya siasa nchini kuhusu ushiriki wa vyama vya siasa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ambalo dar ni 22...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF naweza kuconfirm kuwa Maalim Seif Hajafariki kama uvumi ulivyoonea wakti wa Magharibi bali alianguka tuuu na akapelekwa hospitali ya Hindu Mandal...so far habari ni kuwa hajafa na yu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna habari kuwa uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu huenda usifanyike endapo serikali itaendelea na msimamo wake wa kutoruhusu mgombea binafsi inasemekana kuwa mawakili mbalimbali wakishirikiana na...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Jana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na mbunge wa Iringa mjini kaweka wazi nia yake ya kutetea jimbo lake, Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
CHAMA cha siasa chenye usajili wa muda cha CCJ (Chama Cha Jamii), kimeondokana na mpango wa kutumia picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwenye kadi zake za uanachama... Hatua hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naanza kumchunuku Jaji Kiongozi.. nimemfuatilia tangu alipoteuliwa na kwa namna fulani nimegundua kuwa haumi umi maneno na anasema kila anchomaanisha. Safari amenigusa kwenye jambo hili jingine la...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakati tuko bize na huu wa NHC kuna mwingine unaendelea kule DAWASCO (ambao kuna wakati walinipiga mkwara nisianike data za deal nzima ya Privatization yao). Naam katika hii game ya MICHEZO ya...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…