Jamani tuache utani, watanzania ni watu "wazuri" na nchi yao pia ni nzuri sana! Kwa nini?
1. Mbunge akiona hajafanya chochote ndani ya kipindi cha miaka 4 anarudi mwaka wa tano na kuwaahidi...
Kuteuliwa kwa wabunge hawa:
1) Jussa -- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF.
2) Janet Mbene -- Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Masaki kwa tiketi ya CCM,
Kuna maswali ya kujiuliza.
i) JK katoa...
Wakuu,
Natumaini wote tumesikia kuwa Serikali itatumia jumla ya shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Vitambulisho. Haya yanafanyika wakati karibu watoto milioni 4 wa shule zetu za msingi wanakaa...
Wana JF nimesikia kupitia radio KASIBANTE (iliyoko Bukoba) ya huyu Bwana "live" wakati akiwahutubia watu waliokusanyika katika kufunga wiki ya shehere za miaka 33 ya CCM. Yafuatayo ni baadhi ya...
As received:
MKUTANO WA HADHARA
MAALIM SEIF SHARIF KUNGURUMA LONDON
Jumuiya ya wazanzibari UK (ZAWA) inafuraha kuwaalika mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Katibu Mkuu CUF-Taifa Maalim SEIF...
Hali sintofahamu, imeendelea kuvigubika vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM, ambavyo vimekuwa vikiahirishwa, na kuahirishwa na sasa kuahirishwa tena na tena!.
Vikao hivyo ambavyo CC...
Habari nilizozipata ni kuwa Baraza La Vijana CHADEMA(BAVICHA) limetangaza uchaguzi wa ngazi ya taifa ambao ulifanyika mwezi agosti lakini ukafutwa..Habari zilizonifikia ni kuwa zoezi la kuchukua...
Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.
Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.
Naamini hapa jamvini...
Tumekuwa na mijadala mingi sana kuhusu viongozi wetu, wanavyoenenda na wanavyoongoza taifa letu na hata asasi mbalimbali katika jamii. Ninachojiuliza je wanajua hata maana ya kuwa kiongozi?? Kwani...
Kisa cha Gavana Ndullu na Lazaro maskini
M. M. Mwanakijiji
KATIKA vichwa vyetu kuna matatizo. Matatizo makubwa kiasi kwamba hatuoni ubaya na makosa ya kukubali ujenzi wa nyumba mbili...
Ok.. I know I know I know.. Hivi ni kweli kumeanza mpango wa kubadilisha title deeds kwa kuwa zile za zamani zinakuwa digitized na hivyo wananchi wanatakiwa kwenda kulipia title deeds mpya...
na Martin Malera
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta amesema madai kwamba ofisi yake ndiyo chanzo cha wabunge kuukataa muswada wa kuundwa kwa Baraza la Usalama wa Taifa ni ya...
Waziri ndani ya sakata la Muro - na mwandishi wa Gazeti la Raina Mwema
Achunguzwa kwa mahusiano na waliotimuliwa Bagamoyo !!
WAZIRI Mwandamizi katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk .Wilbroad Slaa
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk .Wilbroad Slaa, amesema kuna haja kwa Rais Jakaya...
Naamini Utajifunza kitu!
Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano kati ya Jaji Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu
Jaji Mkuu: Nikuulize katika uelewa wako jopo la majaji watano wa mahakama ya rufani...
Napendekeza kufanyike maandamano ya mshikamano wa wananchi kuonesha kutokuwa na imani na bunge na uongozi wa serikali. Any takers?
Manake mimi yamenifika utosini.
WIKI jana ilikuwa tuandike barua kwa Jack Zumaa kumfahamisha kuwa hatupendi matendo yake.
Kipigo na mauaji ya jamaa yetu yalitufanya tusifanye hivyo. Hata hivyo nina rafiki yangu Sibusiso...
Hawajatoa mchango wowote kama wabunge tangu 2005
Dk. Slaa, Msindai na Lubeleje ni wachangiaji wazuri
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM) na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), ni...