Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari. Tunaomba DATA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwananchi wa Mwanza,Bukoba,Sumbawanga,Songea ,Shinyanga,Arusha etc anajali nini na Zanzibar? Ningekuwa mbunge wa SISIEM nawakilisha majority ya Wabara,ningeomba hoja ya kuvunja huu the so called...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
...maneno haya yana ukweli wowote au ni usanii tu!? ~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~* Date::2/10/2010 Membe: Ama zao ama zetu waliohusika rada Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa majaji jana kuwa kushiriki uchaguzi kama mgombe binafsi ruksa. Nategemea wiki hii kutangaza kugombea jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya mgombea binafsi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
wakati juzi juzi rais au m/kiti wa chama cha chukua chako mapema alikuwa anafungua matawi, kuna mengi ya kujiuliza pale alikuwa kama rais au m/kiti kama alikuwa nia kama mwenyekiti zile gharama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ccm waache kujidai kuja na mijadala yao bungeni kuhusu fedha za uchaguzi kwakuwa utajiri waliyo nao siyo wao nimali ya umma ila wametumia udikiteta kujimilikisha na wamevunja katiba ya nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mimi ninae amini Mungu yupo na ana nguvu.... Siku zote huwa naamini mtu akifanya maombi maalum bila kujali dini yake, Mungu humsaidia huyo mtu. Lakini ni lazima huyo mtu ajifunze yeye...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Wakuu nawakaribisha wote wenye nia ya kugombea ubunge wajitokeza hapa wakielezea nia yao, vyama na majimbo yao ili Great Thinkers tuweze kusaidiana mawazo na mikakati kuhakikisha ndugu hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya Moshi kumekucha. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Moshi Mjini kimefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Kaloleni iliyoko pembezoni mwa mji wa Moshi. Kata hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kunya anye kuku, akinya bata kah.... Kulikoni Part 1 Continued... Kulikoni Part 2
0 Reactions
0 Replies
992 Views
http://www.youtube.com/watch?v=ktTFtqK_XwQ&feature=player_embedded The White House Press Secretary just openly mocked Sarah Palin --and he delivered the blow with the palm of his hand...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii dhana ya Baba wa Taifa na hasa kwa nchi yetu ya Tanzania. Ninavyofahamu mimi mtu anayepewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa ni yule muasisi wa mwanzo ambaye...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Moja ya sera rasmi mpya za Chadema zilizotangazwa hivi karibuni ni kutohamishia makao makuu ya mji mkuu wa kiserikali na kibiashara kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma hayo yalisemwa jana jijini...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimepata taarifa kwamba huko Kyela baada ya ndg Mwanjala kutangaza kugombea ubunge akipambana na Dkt Mwakyembe, hali si shwari kwa upande wa Kambi ya Dkt Mwakyembe hasa kwa upande wa vijana...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
I think its about time tukaamua kama chombo kwenye uchaguzi wa 2010 tunasupport Vijana au wazeee by Vijana simaanishi akina calibr ya akina Lawrence Masha (alishapata nafasi na alishindwa na si...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekutana nayo hii huko KwanzaJamii.Mwandishi ni Profesa Joseph Mbele Mwenyekiti Hoja zangu zitaingiaje vichwani mwa watu wenye akili finyu, wasiojiamini, ambao hata kujitambulisha...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
:confused:Kutokana na agizo la rais tutegemee hili kabla ya kutoka madarakani:confused:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunaposema viongozi wengi wa CCM wamechoka kuongoza si kwamba tuna chuki binafsi hebu angalia kauli hizi za viongozi wake "Jamani jitahidini hata watu waone malori ya mchanga yanaenda pale ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni kupata fafanuzi wa huu muswada ulopitishwa hivi karibuni. Ndani ya muswada huu kuna kipengele kinasema kwamba;Mtu yeyote ataketumia line ya simu ambayo haijasajiliwa baada ya muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…