Nimesoma kisa cha DC na DED kutoelewana kwa miezi kadhaa bila ya hatua kuchukuliwa kuweka mambo sawa.
Nadhani tatizo ni kuwa wote huteuliwa na Rais na hivyo ndiye mwenye mamlaka ya kuwachukulia...
Hii imetoka kwenye gazeti la The new York Times. Inahusiana sana na modeli za kuleta maendeleo barani Afrika, kwa ujumla, na Tanzania, hasa:
How Can We Help the Worlds Poor?
By NICHOLAS D...
na Edward Kinabo
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka serikali kuitikia wito wa kufanya mabadiliko makubwa ya mfumo wa utawala, ikiwa ni pamoja na kuufanyia marekebisho...
Not all of them of course - check out the one below an compare that to this quote from Nelson Mandela's Autobiography 'Long Walk to Freedom': "We arrived in Dar es Salaam the next day and I met...
Salma Said, Zanzibar
KATIKA kile kinachoonyesha kuimarika kwa uhusiano kati ya rais wa Zanzibar, Amani Karume na katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, viongozi hao wawili jana...
Na Mwandishi Wetu
MwanaHALISI
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, aliyetegemea mno nchi wafadhili kuongoza serikali kipindi chote alichodumu Ikulu, analalamika.
Anawatupia lawama wafadhili walewale...
Ijulikane kabisa kwanza hapa natoa maoni yangu kwa jinsi ninavyo ona hali halisi. Najua kuna watakao pina na watakao kubaliana na mimi. Either way huu ni mtsxsmo wangu.
Tatizo kubwa ambalo...
Companero na Zakumi,
Nyie ni wazee wa Kilimo Kwanza, what is your take on this?
Is There Such a Thing as Agro-Imperialism?
By ANDREW RICE
Dr. Robert Zeigler, an eminent American botanist...
Juzi Bwana mkubwa aliporudi ziarani, aliongea uwanjani na waandishi akasema kuwa,haiwezekani kwake kupendwa na watu wote, kwa sababu watu wanatofaotiana kimtazamo, asilimia 15 ya watu wanaweza...
Serikali ijisafishe, isitubabaishe
Lula wa Ndali-Mwananzela
Raia Mwema
Disemba 9, 2009
KUSEMA kuwa ripoti ya jopo la wataalamu wa Umoja wa Taifa waliopewa jukumu na Baraza la Usalama...
Ndugu WanaJF,
Ifuatayo ni orodha ya waheshimiwa wanaotuwakilisha Bungeni lakini hawajawahi kuuliza swali lolote katika Bunge lililoanza mwaka 2005 na kumalizika mwakani! Kwa ujumla wabunge 89...
12/9/2009
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Udalali ya Majembe imesimamishwa kwa muda kuendelea na kazi ya kukamata daladala zinazokiuka sheria ya usafirishaji jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo...
Last update - 18:10 09/12/2009
Netanyahu cancels trip to Copenhagen climate conference
By Barak Ravid
Prime Minister Benjamin Netanyahu has canceled his planned trip next week to the...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kukaa kando ili kumaliza migongano yao ndani ya CCM na kumpisha kiongozi atakayestahili kuwa rais...
Heshima mbele wana JF:
Kama kawaida najua wengi mtalipinga hili:
CCM ni chama cha siasa ambacho kik madarakani tangu uhuru:
Tulipotoka ni mbali na hadi tulipo lazima tukishukuru chama hiki...
Wana Jf, This is just a Reminder to all opposition parties.
Ningependa Vyama vya upinzani wasiwe maadui, wakae pamoja waangalie majimbo yate ya uchaguzi waweke tathimini ili wayagawane na...
A couple was found with more than 100,000 bullets and military gear in their house at Narok town.
Four rifles and two pistols were also found in Mr Munir Ahmeds house. A seventh pistol was found...
Inasemekana minong'ono na kunyoosheana vidole kwingi kunakotokana na kutoolewena na wana ze mtandao na wachukia ufisadi hakutaishia hapo! habari za kuaminika zinadai ile kambi ya wachukia ufisadi...
Ashushiwa Kipigo na Mumewe Baada ya Kushinda Uchaguzi
Tuesday, December 08, 2009 10:59 AM
MWANAMKE Salma Musa mkazi wa Kiloleni Mkoani Tabora, amelazwa katika hospitali ya Mkoa huo baada...