Na Aristariko Konga
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Idrissa Rashid ametumia Sh. 49,122,800 kununulia maua, samani, sanamu na mapambo mengine ya nyumba...
RAIS Jakaya Kikwete amepongeza hatua iliyochukuliwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Amani Abeid Karume, na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad, kukutana na...
Nimeona TBC News usiku huu, kumetokea ajali nyingine ya basi la abiria katika kijiji cha Pandambili, Dodoma, ni basi la Taqwa lililokuwa likielekea Bujumbura, limepinduka na limeteketea kwa moto...
Date::11/3/2009Rais Mstaafu Benjamin Mkapa atajwa katika kesi ya kina Mramba
Rais Mstaafu awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, jina lake limetajwa katika kesi ya akina Mramba.
Na Tausi Ally...
19th November 2009
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Sophia Simba.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi...
kuna msululu wa wa wafanyakazi ambao wameacha kazi katika idara hiyo nyeti nchini, wafanyakazi hao ni kutoka katika kada mbalimbali, wengi wameshaondoka na wengine wengi wanahangaika kutafuta...
SAKATA la posho mbili kwa wabunge linatishia kumlipua hata Rais Jakaya Kikwete na viongozi kadhaa ndani ya Chama Cha Mapinduzi na serikali.
Iwapo hilo litatokea, juhudi za Katiku Mkuu Ikulu...
Nimekuwa najiuliza mara nyingi sababu za kuwa na viongozi wabovu wanaokiuka maadili ya uongozi hapanchini ila sjapata jibu.
Nikafikiri labda ni kwa sababu kilichokuwa kuwa chuo cha uongozi...
Kama kuna watanzania wanaostahili tuzo kwa mchango wao katika taifa hili baada ya kifo cha baba wa taifa basi ni Dr. Slaa, Tindu Lisu, Kubenea na Mengi. Hawa wamediliki kupambana na rushwa ya...
CCM yateua 'mafisadi' kufadhili Kikwete 2010
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
WATUHUMIWA wa ufisadi wameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuunda kamati ya kukusanya fedha za uchaguzi mkuu ujao...
Memorable Speech of Idi Amin Dada
After a luncheon hosted by the Queen in London in his honour, the former Ugandan leader Idi Amin Dada had this to say for his vote of thanks.
"My majesty Mr...
19th November 2009
Wamwaga mamilioni kwa yatima
Pia wamo Selelii, Mpendazoe na Lembeli
Wengine ni Laiser, Nape na Porokwa
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa...
Walimu watelekeza shule, watimkia mgodini
na Sitta Tumma, Mwanza
WALIMU wa Shule ya Msingi Nyakunguru B iliyopo katika Kijiji cha Nyakunguru, Kata ya Kibasuka, Wilaya ya Tarime mkoani Mara...
jamani imebidi niulize mh rais ,maana niijitahidi sana kuleta mada za rushwa wizara hii sasa leo nimesoma hapo nikaona niulize kuna nini huko wizararani...???
Ufisadi waivuruga Maliasili
na...
Majambazi Wateka Basi Kigoma, Wapora Mamilioni
Friday, November 20, 2009 9:43 PM
Majambazi wawili wenye silaha za moto wameteka basi la abiria mkoani Kigoma na kupora mamilioni ya pesa na mali...
Dk Salim ataka mseto Zanzibar,awasifu Maalim Seif, Rais Karume
Na Hawra Shamte
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu wa zamani, Dk Salim Ahmed Salim amesema dawa ya kudumu ya matatizo...
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema hajui kama Tanzania itaweza kuondokana na tatizo la rushwa na ufisadi, licha ya juhudi mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kukabiliana na...