US showers JK with praise on governance
By Angel Navuri
President Jakaya Kikwete
The United States has commended President Jakaya Kikwete for playing a pivotal role in setting up...
Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo...
Ndugu wanajamii wenzangu.
Gazeti la Rai la Tarehe 29/10/2009 katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha sehemu ya Barua iliyoandikwa na Mh. Eduu Lowaa Hasaa aliyekuwa waziri Mkuu wa Kwanza katika...
Mgomo Mlimani Na Katuni Iliyosahauliwa
Na maggid mjengwa,
UKISIKIA mtu amegomea jambo, unachotakiwa kuuliza ni kipi kilichomfanya agome. Maana, kugoma kuna maana pia ya kupinga. Wajibu wetu iwe...
Ikiwa ni Ishara tosha kuwa katika uchaguzi mkuu ujao CCM Tabora Mjini itapoteza viti vingi vya Udiwani kama mtendaji wa CCM tabora Mjini na Timu yake hawatawajibishwa! hadi Uchaguzi unafanyika...
Mgonjwa wa moyo wahi THI, upasuaji wa bure...
2008-10-17 10:32:36
Na Richard Makore
Muungano wa nchi za Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa moyo kutoka nchi mbalimbali...
Na Bahati Mwiko, Bariadi
28 October 2009
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Bw. Andrew Chenge amesema hakuna mtu anayemsaka kwa ufisadi na kama yuko amfuate Bariadi amkamate.
Vile vile Bw. Chenge...
Quote:
Phillemon Mikael
yeye ndiye anabebaga lile koba la pesa za shopping za rais nini.....maana jk akienda lazima achukue cash BOT si chini ya dola milioni 1....imprest ....na hakirudi...
Zitto akwama bungeni
na Sauli Giliard, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), jana alikumbana na wakati mgumu baada ya wabunge kugoma kuunga mkono hoja yake ya...
Kinachoingoza Tanzania ni nini? Je ni Katibaya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Katiba za Vyama vya Siasa na hasa Chama Tawala CCM?
Je Watanzania waliopewa majukumu na dhamana ya kuingoza...
Je Dr. Slaa kugombea urais TZ mwakani?
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA wanamuandaa Dr. Slaa kugombea urais 2010. Mpambano huo utakuwa mzuri sana, huenda tukamkosa sana Dr. Slaa kwenye bunge la...
Mwenzenu ninatatizwa na jambo moja nalo nihili la Umeme na maswala ya Dowans....
Nikifikiri kwa makini na kwakina natatizika, kweli hakuna mkono wa namna namna katika hili swala la kukatika...
Angalia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010 yafuatayo ni mafanikio ya miaka mitano ya kwanza ya Ari, Kasi Nguvu Mpya.
1. Mtanzania wa kwanza kufanya kazi Ikulu ya Obama
2. Mtanzania wa...
Opiyo Oloya
THERE is a growing feeling around the globe that the war on terror is mostly being won, but those with keen eye-sights know terror is just starting. What is more, every forward...
Wakulima wa tumbaku wajipatia mabilioni
Na Lucas Macha
1st October 2009
Shamba la tumbaku.
Wakulima mkoani hapa wamejipatia Sh bilioni 149 kwa kuuza tumbaku katika...
Waziri Mahanga akimbilia mahakamani kudai fidia ya Sh3bilioni
Na James Magai
10/26/2009
NAIBU waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk Makongoro Mahanga amemshtaki mkazi wa jijini...
Switch on Dowans, IPTL now, businesses tell Government
By Bethuel Kinyori and Florence Mugarula
THE CITIZEN
2009-10-21
The Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Dowans electricity...
Natumaini wakuu mnafahamu maana na aina za ukoloni. Katika maana zote, ipo moja ambayo tumekuwa tukiiimba bila ya kuzama kwa undani kuitafakari. inaposemwa ukoloni ni hali ya jamii moja au...