Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ukahaba Wetu Unatuponza Tafsiri ya Sanifu ya Kahaba, ni mtu ambaye anajiuza mwili ili ajipatie kipato. Ni mtu ambaye amekubuhu katika fani ya Umalaya na aliyekata shauri kuwa kamwe yeye hata...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Julius Nyerere, Jomo Kenyatta and Milton Obote were household names in the good old days AN EAST AFRICAN PERSPECTIVE Jerry Okungu AS Kenyans commemorated the day Jomo Kenyatta was...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Najiuliza maswali mengi, imekuwaje CCM ipite bila kupingwa sehemu nyingi za TZ kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji? malalamiko yalikuwa kwa tume ya uchaguzi, sasa yenyewe imesema haitasimamia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh. Waziri mkuu alipata kunena: .............acheni kununua SUTI........ Ni kweli, maana kwa maisha ya kawaida ya mtazania mfanyakazi asiyekuwa FISADI hawezi kununua suti ya Mil 3.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana-ukumbi, Juzi, Sunday, nilipata nafasi kula dinner na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae anafuatilia sana mambo ya kwetu na kabla hajapata moja baridi moja moto nikamuuliza “ What’s...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
21st October 2009 Si siri kwamba katika miaka ya hivi karibuni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekumbwa na dhoruba nyingi, miongoni mwanzo ni watu wanaohoji mamlaka yake katika baadhi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
..anachukua nafasi ya Johnson Mwanyika. PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Justice Frederick Mwita Werema as the new Attorney General. He replaces Mr Johnson Mwanyika who is retiring. The...
0 Reactions
42 Replies
13K Views
Wakatoliki kuwakilishwa AU? Mkutano (Synod) wa maaskofu wa Kikatoliki kutoka Africa ulioitishwa na Papa Benedict XVI unaendelea huko Vatican kwenye makao makuu ya kanisa hilo. Maaskofu kadhaa...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Kwa muda nimekuwa mbali na ulingo huu, nashukuru kwamba mijadala ya fikra mbadala inaendelea kwa kasi. Oktoba 14, niliongoza maandamano ya kumbukumbu ya Nyerere. Wapo waliunga mkono, wapo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasomi wapendekeza liundwe Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali MJADALA kuhusu masuala ya dini na siasa umeanza kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari kuwa tatizo la umeme Tanzania ni sugu, sikulipokea kwa mshangao hata kidogo. Picha ya tatizo hili nililielewa pale Rais mstaafu Mwinyi akiwa madarakani, alipolieleza tatizo kama limetokana...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Ninapata message kwenye screen sasa kwamba JK atakuwa anahutubia Taifa ama atakuwa anaongelea mambo mbali mbali , je ni kweli ama ni habari za mtaani ? Mwenye nyeti azimwage hapa tujue namna ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaandika nikiamini bila shaka yoyote kuwa hotuba za baba wa taifa zinafaa sana kutumika katika kufundisha somo la uraia katika shule zetu za msingi, sekondari na vyuo. Hotuba za Nyerere...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Na Jabir Idrissa SIJATHUBUTU hata mara moja kusifia Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Sijadanganyika. Wala si kawaida yangu kusifia mtumishi au taasisi, labda pale inapokuwepo sababu ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
THIS DAY The Tulawaka gold mine in Biharamulo district, Kagera region has sold gold worth $66.6 million (approx. 87bn/-) over the past nine months alone, as the government continues to get a...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Urgent Alert - Organizations and Individuals: Sign-On Letter Demand Withdrawal of Proposed Legislation in Uganda Expanding LGBT Sanctions, Including DEATH PENALTY! CHAMP urges you to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa najiuliza tu kama huko kwenye kisima chenu cha wateuliwa mmeishiwa wateule? Au ndiyo kujipanga vya eneo la 12 ili goli la mkono wa Mungu mtufunge? Kama mmeishiwa na sasa mmebakia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Unyamikumbi, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida amefukuzwa uanachama kwa madai kwamba alikuwa akifanya kampeni za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii klabu ni maarufu sana pale Kariakoo. Ni klabu ya mtaani ambayo ni jamaa hukaa wakipiga gumzo, kucheza bao, karata na kubadilishana mazungumzo. Zaidi, klabu hii imetumika katika harakati...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…