Whatever we are doing in this world, so long as we are still living, we will one day be accountable for it. The life we are having here is a trust(dhamana), and we must one day say what we did...
Ex-president of Tanzania Benjamin Mkapa nicely summed up his experience and that of many other countries: We privatized everything the state had. Everything was bought by foreign capital because...
INAPOBIDI kusifu huna budi kufanya hivyo, na pia una wajibu wa kukosoa ili kuweka mambo sawa.
Umaarufu wa mtu unapimwa kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kudumu muda mrefu katika eneo fulani la...
Aim is for IPTL to generate much-needed electricity, with case pending in court
By Zuwena Shame
20th October 2009
Energy and Minerals minister William Ngeleja
The government and...
..habari hii imenipa moyo sana.
..mkoa wa Rukwa una ardhi nzuri kwa kilimo and it is about time uweze kufikiwa kwa barabara za uhakika.
..kwa wenye uelewa wa maeneo yatakapita hizi barabara...
Wabunge wacharuka, washangazwa
na Sauli Giliard
UJENZI wa ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam umeishtua Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ambapo mkataba wa awali...
KIONGOZI wa Dini Padri Lucian Malamsha wa Kanisa Katoliki Zanzibar amemfananisha Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Rais (Muungano) Mohamme Seif Khatib na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
Heshima mbele wadau,
kwa mara nyingi nimekuwa nikifuatilia siasa na wanasiasa wa Tanzania na hasa huyu kijana mwenzetu Mh. Zitto kabwe, huyu mh ambae pia ni naibu katibu mkuu wa chadema mara...
Mbatia awapasha wanasiasa
Imeandikwa na Waandishi Wetu;
Tarehe: 18th October 2009
MWENYEKITI wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amewalaumu wanasiasa kwa kudai kuwa wanafanya suala la...
Makamba akiri kuwepo kwa makundi ndani ya chama tawala
Hemed Kivuyo, Arusha
10/19/2009
SIKU chache baada ya kudaiwa kuingia katika baadhi ya majimbo na kuendesha kampeni za kuwang'oa wabunge...
Gazeti la Daily nation la June 15, 2009 lilitoa hii katuni ambayo ilikuwa ikimkebehi Rais Kikwete mara tuu baada ya kuonana na Obama. Wadau mnalionaje hili ? Je kweli Muungwana ni cheer leader in...
Lipumba: Mgawo wa umeme JK alaumiwe
na Neema Kishebuka, Tanga
Tanzania Daima
WAKATI Watanzania wakiendelea kukabiliwa na tatizo la mgawo wa umeme, Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema hali...
Chadema ni chama kidogo kwa mawazo yangu lakini ni future ya Tanzania. CCM inawakati mgumu kwa miaka 15-20 ijayo.
Chadema itakuwa polepole sana lakini inamisingi imara kwani ina watu imara.
Watu...
Date::10/19/2009Risasi, mabomu yatumika kumuokoa meneja 'mshirikina' DarNa Geofrey Nyangâoro
POLISI katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana walilazimika kutumia risasi za moto na mabomu ya...
Na Festo Polea
10/16/2009
ASHISH Thakkar anatarajia kuwa Mtanzania wa kwanza kwenda mwezini wakati atakapofanya safari hiyo mwakani.
Mtanzania huyo, ambaye ni chotara wa Kiingereza...
Kuna tetesi zimetapakaa ndani ya CCM especially baada ya Amosi Makala, Mweka Hazina wa CCM kukamata cheo hicho kwamba, hawaoni haja tena ya kumpa tena DEAL Komba wakati kuna bendi ya Vijana Jazz...