Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

..upande wa mashtaka umetoa majina ya wananchi 17 watakaotoa ushahidi dhidi ya Mramba,Yona,na Mgonja. ..kati yao yume Maria Kejo ambaye amekuwa akitajwa sana ktk kashfa ya IPTL. ..pia yupo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waheshimiwa kuna hii kitu inanitatiza sana siku zote, kila siku mitaani na kwenye vyombo vya habari ukisikia wananchi wakizungumza kuhusu tatizo flani likiwa limetokea utasikia wanatumia hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hili swali limekuwa linanitatiza sana...na pengine ndio maana wengine wanakiita CCM ni chama cha mafissadi... kwanini kama wanachama wake wametajwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau mtaniwia radhi kwa kutokuwa na habari kuhusu hizi kesi ambazo zilivuma sana, lakini ghafla zimezima kama moto uliomwagiwa maji: 1. ile kesi ya mzee wa UTAMU, walisema ataletwa nchini,ohh...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
WATANZANIA wenzangu, kwamba ni chama gani cha upinzani kinakua kwa kasi kubwa hivi sasa kuliko vingine, hilo si swali tena. Wiki iliyopita nilifafanua jinsi Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwani iliundwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (Nec), kufuatilia mienendo ya wabunge wanaoishambulia serikali kwa ufisadi. Na inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Thursday, September 24, 2009 10:28 AM JUMLA ya mashahidi 17 wanatarajiwa kuieleza mahakama jinsi aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil Mramba na wenzake walivyoisababishia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mbona mie kila nikijaribu kufatilia siasa sijawahi kuhisi kama haka ka nchi ketu kana demekrasia jamani??? natamani kuishi nyuma ya dunia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi Naomba kuwakilisha habari toka BBC.... yaelekea safari ya PM kule Korea ni katika mchakato mzima wa ajenda ya 'Kilimo Kwanza" Je hi deal itafanikisha ajenda ya Kilimo Kwanza...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Salim Said CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitendo cha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kuendelea kuwalazimisha Wazanzibari kwenda vituoni ili kuandikishwa hadi katika sikukuu za kitaifa, ni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Date: 9/23/2009 *ASEMA ZINAENDESHWA KWA UKATA, ZANA DUNI, ATAKA WANAOLALAMIKA WAFANYE UCHUNGUZI Na Ramadhan Semtawa Mwananchi WAKATI baadhi ya watendaji wa vyombo vingine vya dola...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Godfrey Dilunga Septemba 16, 2009 SEPTEMBA 7, mwaka huu, Mwandishi Wetu, GODFREY DILUNGA alifanya mahojiano na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ikiwa...
0 Reactions
77 Replies
8K Views
Watanzania wenzangu kuna jambo linaniumiza sana kwenye nchi yetu Tanzania. Mimi ni Mtanzania kama vijana wengine wengi niliojaliwa kupata elimu lakini ina niuma kuona hakuna jitihada za kuboresha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Absalom Kibanda KILA dalili inaonyesha kwamba, joto la Uchaguzi Mkuu wa mwakani linazidi kupanda kila kukicha kwa kiwango kinachotofautiana kutoka eneo moja na jingine na kutoka katika chama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Sauli Giliard WIKI iliyopita, safu hii ilijikita zaidi katika kujadili iwapo kweli tunapambana na ufisadi ama ‘ufisadi' umeshakuwa kichaka cha kujijengea umaarufu wa kisiasa na hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Michael Maiello, 10.05.09, 12:00 AM ET How to pull Africa out of its desperate poverty? The Gates Foundation attacks disease on the theory that debilitated people cannot become prosperous...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Debate on what happened during latest CCM-NEC meeting: THIS DAY AT least one topmost official of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has openly confirmed a brazen party bid to silence once and...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Read on habari ndio hiyo! If defending our great country means the death of the federation, so be it! By Mobhare Matinyi , Washington DC THE recent rhetoric from Nairobi on the sensitive issue...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wabunge mnaoongoza kulia lia kila siku, igeni mfano wa Shibuda. Shubuda asuta wanafiki wanaomfikishia majungu Friday, 18 September 2009 16:06 Na Suleiman Abeid, Maswa MBUNGE wa Jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Very interesting reading. Tanzania's Gold-Someones Treasure 2008
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…