Waungwana,
Hivi ile ripoti ya CAG aliyokabidhiwa Pinda wiki chache zilizopita kuhusiana na kituo cha Mabasi kinachoendeshwa na Kingunge ilishatolewa hadharani au bado Pinda ameikalia...
Nafasi ya sasa ya Mkurugenzi wa Shirika la umeme Tanzania (Tanesco)Dr Idrisa Rashid sambasamba na ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(Sumatra) Israel Sekirasa...
Just in case kuna mtu atakuwa interested na makala haya ya Jenerali Ulimwengu
Rai ya Jenerali
Nakala chapishi
Mtumie mwenzio
Jiandikishe utaarifiwe
Salim, Msuya, Warioba, Malecela...
Amepeleka majeshi Pemba tokea mwanzo wa Ramadhani hadi leo ,wakitesa ,wakiwapiga watu mabomu ,kumbe Kikwete nae anamuogopa Mwenyezi Mungu ? Basi ajue madhila waliyopatishwa WaPemba na jeshi lake...
hivi mnalionaje suala la maadili na vyombo vya habari?????
mi naona kadri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaaya.
sasa kuna vipindi vya redio,hasa vya taarabu,matusi imekuwa kawaida..
kwenye...
Academics divided on 'Kilimo Kwanza' policy
By Samuel Kamndaya
Academicians are divided on whether or not, Tanzania�s new initiative dubbed as �Kilimo Kwanza�...
MIOYO ya Watanzania wengi sasa imeanza kuwa juujuu hasa kutokana na pilikapilika zisizo za kipimo kuanza kwa kasi ya ajabu na kuwafanya watu wenye nia ya kutafuta kile wanachokitaka waanze...
Wakati naendelea kulumbana na FMES na Mzee Mwanakijiji kuhusu wajibu wa Wapiganaji, Vita ya Wapiganaji na ni nani anafaidika na Upiganaji, jina moja linakuja mukichwa na dhamira inaniambia kuwa...
He assumed the office of the presidency with fanfare and with an overwhelming mandate he ascended to power. He was called to lead. He has miserably failed and now he has become a good follower...
Vurugu za kisiasa zinazotokea Zanzibar kwa sasa na sehemu zingine wakati wa uchaguzi Tanzania bara zinatoa fundisho moja kubwa kuwa vyama vingi havijengi umoja wa kitaifa. Ingawa inaweza kuonekana...
Mafisadi wakomba zaidi ya shilingi trilioni moja serikaliniNI FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA SITA
Na Mwandishi Wetu
ZAIDI ya Sh1 trilioni zimechotwa nyakati tofauti kutoka serikalini katika miaka...
A few months before Thabo Mbeki was "recalled" from the South African presidency by his party, ANC, two biographers published 'Fit to Govern: The Native Intelligence of Thabo Mbeki' and 'Thabo...
Kwa mudamrefu nimekuwa najiuliza hivi ndugu kikwete ni kweli unashindwa kuamini kwamba Dr. Idris Rashid alihusika ktk kashfa ya rada, IPTL? mpaka unaendelea kumpa vyeo ambavyo hata hivyo...
http://www.alternet.org/story/141734/why_corporations,_emerging_powers_and_petro-states_are_snapping_up_huge_chunks_of_farmland_in_the_developing_world
That exponential process will only be...
Waraka wa Kanisa Katoliki umeungwa mkono na pia umepingwa na watu wa aina mbalimbali. Lakini watu wengi waliweza kusema kwa jumla tu kuwa ni mzuri au mbaya bila kusema ni mambo gani yamewagusa...
Mkataba wa TRL hauvunjwi ng'o !
17 September 2009
Majira
Waziri wa Miundombinu Dkt. Shukuru Kawambwa akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu azma ya...
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka...
Kabla ya kuletwa tena na serikali ripoti ya utekelezaji wa maamuzi ya bunge juu ya richmond Lowassa atakuwa amesafishwa rasmi-siyo na bunge, siyo na magazeti bali na rafiki wa siku nyingi na...
Mara nyingi sana huwa napata shida sana katika kujua Taifa letu linahitaji katika Ustawi wake, Waziri Mkuu wa Tanzania Mh pinda hivi karibuni alikuwa katika Mataifa mbalimbali ya Asia kwa ajili...