Ndugu Watanzania wenzangu,
Sijawahi kuchangia wala kuandika hoja katika uwanja huu mbali ya kuwa mwanachama kwa zaidi ya mwaka mmoja. Kilichonivuta leo kuandika hapa ni upotoshaji wa hali ya...
Ukisoma JF na magazeti mengine unaweza kudhani kwamba, mwaka 2010 Kikwete hawezi kuambulia hata 20% ya kura za watanzania. Lakini hali halisi nchini ni nyingine kabisa. Nimetembelea Mwanza...
KUna taarifa rasmi kwamba kuna mtumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa. Taarifa zaidi baadaye.
Date::9/16/2009Makamba amfuata Spika Sitta Urambo, ampigia magoti
ASEMA HANA UGOMVI NAYE, ASEMA ALIKUWA MLEZI WA NDOA ZA WANAYE
Na John Dotto, Tabora
Mwananchi
KATIKA kile kilichoelezwa...
Kutoka Gazeti la MwanaHALISI la August 26, 2009
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, John Chiligati aliwaambia waandishi wa habari baada ya kikao cha NEC, "Tumesema inatosha. Hapa tulipofika...
2009-09-11 08:21:00
Dar to lose Sh400bn in World Bank cashBy Samuel Kamndaya and Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
Tanzania stands to lose $312 million (about Sh405.6 billion) in soft loans from the...
Nov 18, 2004
The head of the Catholic Church in Tanzania, Polycarp Cardinal Pengo has lashed out at the perpetrators of clashes claiming to pursue a religious cause.
(Guardian, April...
RAIS wa Zanzibar Amani Abeid Karume amesema Serikali haitafuta matumizi ya vitambulisho vya mzanzibari mkaazi kama kigezo moja wapo cha kuandikishwa kuwa mpiga kura kama ilivyopendkezwa na...
Haya jamani, KUMEKUCHA, tunaambiwa Lowassa atamng'oa JK 2010 kwa kuwa tayari "Ametakasika" katika lile kashfa la Richmond. Tujadili kama Taifa.
Hao wadadisi wa mambo wa Tanzania Daima Jumapili...
Kila kukicha wenzetu wanatuzi ubunifu, ingawa siasa zao ni hatari kuliko za kwetu, ikija kupiga hatua za kimaendeleo hata robo hatuwakaribii. Nawaonyesha mfano kutoka Kenya ambao wametumia brand...
Walipokuwa Butiama walishikana mashati na kutoleana kauli chafuchafu. Kwenye kikao cha Bunge cha Juni 2009, mashati yakaendelea kushikana na mikakati ya usuluhishi ikafanywa. Kwenye baraza la...
Shalom wapendwa....haya ni maono tu na kama tutaendelea kuwa na uzima hakika RAIS wetu kikwete atajuta kukumbatia KAGODA ......
kwa habari zaidi soma mwanahalisi
Kwa vile Uchaguzi wa 2010 bado, kuandika kuwa CCM imeishashinda, Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, itaonekana kama ni utabiri, huu sio utabiri bali ni mwelekeo halisi wa kitakachotokea kutokana na...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imedai fujo zinazoendelea hivi sasa kisiwani Pemba ni mpango maalumu na wa muda mrefu wa serikali ya Marekani.
Kauli hiyo ya kulishutumu taifa kubwa duniani...
Big breakthrough in Kagoda probe
AT least two prominent personalities behind Kagoda Agriculture Limited company are now part of the 40bn/-embezzled from the Bank of Tanzania's external payment...
Ndugu zangu najua huenda hapa si mahali muafaka kuzungumza hili, lakini haya ndiyo mambo yanaturudisha nyuma. Hivi sasa wenzetu Kenya wanajipanga kunufaika na kuwasili kwa fibre optic cable...
Naomba wataalam wa constitutional affairs watuongoze juu hizi pillars of state.....
Executive (JK);
Parliament(6);
Judiciary (Ramadhan);
Media (not in tanzania)
..zinafanyaje kazi?..mbona JK...
allAfrica.com: Tanzania: TIC to Promote JKT Land Bank (Page 1 of 1) The Tanzania Investment Centre (TIC) has agreed to market and promote a land bank owned by Suma, a corporation of National...
Wakuu wote JF heshima mbele sana,
- According to the dataz nilizozipata sasa hivi ni kwamba Kamati Kuu ya CCM itakutana kwa kikao cha dharura kuanzia tarehe 11, September 2009. Ni hivi majuzi tu...
JESHI la Polisi kisiwani Pemba limejibu tuhuma za CCM kuwa linafanya kazi kwa kukipendelea chama cha upinzani cha CUF, ikisema kuwa inafuata misingi ya sheria.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu (Nec) ya...