Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

..haya jamani nimekuja na swala lingine. ..naomba kujua wasifu wa Edington Kissasi na mchango wako kwa mapinduzi ya Zanzibar. ..je alikuwa Zanzibar kabla ya Mapinduzi au alipelekwa huko ktk...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wachambuzi wa mambo ya SIASA na KIJAMII, Hivi ile ziara ya Rais George W. Bush hapa TZ iliyo jaa mbwembwe na matarajio makubwa makubwa imeshazaa chochote cha kuelezeka? Wachambuzi leteni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tangu vita dhidi ya Ufisadi ianze hapa Afrika mashariki, sijasikia mwanamke yeyote aliyetajwa kuwa FISADI. Hii inanifanya nifikiri kuwa huenda wanawake ni watu waaminifu sana wakipewa uongozi wa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
* President says two or three cases imminent * Says tackling sharks, not just "small fish" By George Obulutsa DAR ES SALAAM, Sept 10 (Reuters) - Tanzania's anti-graft agency will bring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majibu ya JK yamekwepa hoja! Thursday, 10 September 2009 17:14 *Beregu: Yalikuwa mepesi hayakukidhi haja za wananchi *Aonesha wasiwasi baadhi ya maswali kuandaliwa *Shekhe Issa: Napongeza Rais...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
2009-09-12 08:13:00 Ewura: 70 per cent of petrol stations unsafe Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) director general Haruna Masebu addresses senior journalists during a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KUUELEWA MFUMO WA UTAWALA WA KIFISADI - 101 Na. M. M. Mwanakijiji Maadui wa Tanzania siyo Rostam, Lowassa, Chenge, Mramba, Yona au mtu yeyote ambaye ameonakana na kutajwa kuwa ni fisadi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya kusikiliza kwa umakini saga linaloendelea sasa hivi, naona pongezi za dhati zimuendee pia JK, kwani bila yeye kuridhia sidhani kama haya yote yangetokea. Utakumbuka kuwa kamati mbali...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Date::9/12/2009Kikwete awatosa maswaiba wake Rostam, Lowassa?Rais Jakaya Kikwete, je amewatosa maswaiba wake, Lowassa na Rostam ambao wanadaiwa kuhusika katika kashfa ya Richmond, hili ndiyo swali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Date::9/12/2009Idadi ya masheikh yapunguzwa katika mchakato wa kumpata kadhiNa Salim Said MASHEIKH walioteuliwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba kukutana na wataalamu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
FALSE DIVISIONS 2: CORRUPTION VS. LAW’N’ORDER Hal Pepinsky, pepinsky@indiana.edu September 9, 2009 A major excuse for Anglo-American military failure in Iraq and Afghanistan has emerged...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
GARBAGE is piling up at Manzese Flyover Bridge in Dar es Salaam and city authorities seem not to care. Our Staff Photographer Bernard Rwebangira captured this ugly scene.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
VIONGOZI wa chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar, wamependekeza utawala wa Rais Amani Abeid Karume uendelee kwa miaka miwili zaidi, ili kutoa nafasi ya kumaliza matatizo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa sasa. Nimefuatilia sana lawama zinazotolewa kwa viongozi mbali mbali wa nchi yetu Tanzania. Kinachonipa wasi wasi ni kuona kuwa lawama hizo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wazungu wakejeli Serikali ya Kikwete! Waandishi Wetu | Septemba 9, 2009 - Wasema posho zawapofua watendaji - Wasema inajali wawekezaji kuliko raia SURA ya Tanzania katika duru za kimataifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
• Dk. Slaa ampinga kuhusu Richmond, Kagoda na Mwandishi Wetu SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzungumza na wananchi kwa staili mpya ya kujibu maswali ya papo kwa papo kwa njia ya redio...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Fokas, Brown, Dunia Adonis. Aluu Ally, Vincent Mkude, Hussein Ngulungu, Ahmad Amasha, Zamoyoni Mogella, Miraji Salum, Peter Tino, Mohamed Salim, Abdurahman Jalala, Salim Omari...
0 Reactions
62 Replies
17K Views
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) katika Wilaya ya Arusha, kimepata pigo kubwa baada ya viongozi na wanachama wake 92 kuamua kujiunga na TLP. Wanachama hao walipokelewa juzi katika ofisi za TLP Kata ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:confused:wana jamii hebu nisaidieni kwa hili mji wa dar es salaam nani mwenye mamuuzi tuna mameya watatu na wasaidizi wao na meya mkubwa wao na mkuu wa mkoa na wakurugenzi na madiwani je ni nani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naam, Tido Mhando anaongea lakini sauti ilikuwa haisikiki vema na wamerekebisha. Toka magazetini: RAIS Jakaya Kikwete, amesema kuwa hajawafunga midomo wabunge na badala yake amewataka waendelee...
0 Reactions
372 Replies
34K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…