Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi.
Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February...
Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini.
Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya...
1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala
2. Je, CHADEMA...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao.
Zoezi...
Anachofanya Trump sasa hivi kuibua Ufisadi na kutumbua kilishafanywa na Shujaa Magufuli kwahiyo siyo Kitu kipya
Trump anatumiwa Department Of Government Efficiency na Shujaa Magufuli yeye...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano...
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?
Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?
Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?
Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?
Comments ziwe...
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa.
Tutarajie ya mwaka 2019?
Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 -...
Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa...
Hayo si Maneno yangu, bali ni Maneno ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipokuwa anawahutubia mamia ya Wananchi, akigusia hali ya Uchumi ilipofikishwa na serikali ya ccm
Naunga mkono...
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam...
Ktk account yake ya X, lema amewataka Watanzania kuchangia fedha chadema na kuweka account.
My take.
Walisema mbowe hakuandaa vianzio vya mapato na kufanya chama omba omba
Leo hii mwezi tu chama...
Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo...
Swali kwa wapinzani.
Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini?
Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini?
Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana.
Hakuna...