Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar
Chama cha Waandishi wa Habari Wananawake (TAMWA Zanzibar) kinawashauri wanawake wa vyama vyote vya siasa kujitokea kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi mbali mbali ndani ya vyama vyao...
Zoezi la uchukuaji wa Fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, lazidi kupamba moto ambapo Balozi Meja Jenerali Mstaafu Issa Suleimani Nassor wamefika...
Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi...
Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya...
Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la...
Mwanachama mwengine wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Omar Sheha Mussa amechukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya uraisi wa Zanzibar kupitia tiketi ya chama hicho Mgombea huyo akiwa ni mgombea...
Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.