Beberu ni Mbuzi dume, hii ni tafsiri sawia kwa Mtanzania wa kawaida wa kule Nyololo na Nanjilinji. Sifa kubwa ya beberu huyu, ni kupiga kelele usiku kucha, kunusa mikojo ya majike zizini na kuwa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Masauni anakuwa mwanachama wa 16 wa chama hicho kujitosa kwenye...
Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar.
Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA...
Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama...
Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020
-
Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho...
Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
Wadau,
Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar.
Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Attai Masoud amekuwa mwanamke wa pili kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar.
Hasna anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama...
Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar.
Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR...
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM
Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa...
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu...
Muda unakwenda kwa kasi sana. Tutashuhudia mengi pia.
Kwa muda wa miaka 4 na ushei, kuna mambo ambayo hayasemwi hadharani ndani ya CCM hasa Zanzibar. Kwa ufupi wa maneno CCM Zanzibar wana fundo...
CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo...
Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar ni mwanajeshi ambaye alikwenda kupigana vita Uganda yeye ni mwana CCM tokea 1978 alianzia Migombani...
Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed aliyekuwa waziri wa fedha Zanzibar Leo wamejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui kuchukia fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar
Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar.
Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.
Mohamed Ayoub
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu umma wa Watanzania kupitia Mkutano huu kuwa jumla ya Wanachama 3, wamejitokeza kutia nia kuwania uteuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.